Nini kimempata designer wa gari za Toyota Motors Corporation?

Toyota ni kama ni kama kampuni ya sim ya tecno. Toyota wana varity ya magati meng ambayo bei yake ni ya kati majority interested can afford to buy. Wanauza volume kubwa sana japo gari zao ni cheap. Hawategemei watengeneze magar ya thaman sana ili wapate faida kubwa mf. Benz mercedes.
 
Personally sijaona ubaya wa izo body. Sema wenginl najua zinawatisha sababu zina muundo kama nyoka cobra au black mamba na hasa taa zakebl zilivyo
 
mashoodjr Volvo wanakuja juu sana sasa na hiyo XC 90. Mimi mwenyewe naiangalia niitungue kati ya hii Volvo, Audi Q7/Q5 au Porshe Macan S.
 
Umenijumbusha Porte
 
Kweli uzuri wa kitu upo kwenye macho ya mtazamaji..... Magari mazuri sana hata nlikua najuliza kwann toyota hawatengenezi??? Sasa nasubur muda uende niweze jipatia kama mtumba from japan kwa bei cheee!
 
wote hapo mtazinunua after seven years / shenzi / wabongo kwa kuponda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo design ni mbaya hata ukisoma baadhi ya forums za ulaya wapo wazungu wanazipondea sana.
 
Mara nyingi Toyota wamekua wakiiga Design za magari ya Ulaya sasa labda wanataka kutoka kivyao ndio hayo mazombie wanayotuletea sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…