Uchaguzi 2020 Nini kimempata Freeman Mbowe?

Uchaguzi 2020 Nini kimempata Freeman Mbowe?

Mwenyekiti wa CHADEMA na mgombea wa ubunge jimbo la Hai mhe. Freeman Aikaeli Mbowe ameonekana mara chache sana kwenye jukwaa la siasa kumnadi mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama hiko...
Atakuwa kaenda Dubai kuchukua pesa za uchaguzi. Awe makini tu asilete pesa za kutakasisha kama alivyofanya Kubenea na msaidizi wa Membe. Alete clean money not dirty money!
 
Mbowe alisema Mwaka huu CHADEMA imejipanga,Kuna mikakati mingine wanaeleza na mingine Ni Siri.Ukimya wa Mbowe usiuchukulie POA.he is Busy
 
Mwenyekiti wa CHADEMA na mgombea wa ubunge jimbo la Hai mhe. Freeman Aikaeli Mbowe ameonekana mara chache sana kwenye jukwaa la siasa kumnadi mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama hiko...
Nakukumbusha tu 2015 Mbowe alifanya kampeni mikutano 3 pekee ila alizoa halmashauri nzima!! Kazi ni kwenu ssa
 
Mwenyekiti wa CHADEMA na mgombea wa ubunge jimbo la Hai mhe. Freeman Aikaeli Mbowe ameonekana mara chache sana kwenye jukwaa la siasa kumnadi mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama hiko....
Aliko Freeman Mbowe ndiko aliko Membe wanapanga safu ya baraza la mawaziri.

This game is well calculated
 
Kwani Freeman Mbowe ndiye Mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA hadi uwe na 'Kisununu' chote hiki cha Kumuulizia tena Kinafiki na Kisanifu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umempa za uso sijui Kama atarudi
 
Mbowe mwenyewe anafurahia hata USO umeanza kutakata baada ya kuona jinsi Lissu anavyo jaza watu, angekuwa hapati watu kama membe angeshatimkia jimboni kwake,. Ila nyomi ya Lissu inampa faraja
 
Hujui kitu chochote , Just Shut up !
Msemaji wa chama mitandaoni unatoa kauli kama hizi badala ya kutoa majibu Lissu hakuwa chaguo la Mbowe,Mbowe alimtaka Nyalandu kwa sababu aliahidi kugharamia kampeni za urais na wabunge wote,kla wajumbe si watu wazuri tabia zao zinafanana.

Sasa hivi chama hakina pesa,mgombea urais yu taabani,wabunge ndio hali tete kabisa,Mbowe amesusa
 
Kuna msuguano mkubwa sana ndani ya chadema, inasemekana nia yake sio urais ni uenyekiti na Mbowe naye hataki kabsa kuachia kijiti
Jamaa anajitengenezea profile ya Uwenyekiti.
ndio maana huko kaskazini husikii wakimsifia sana
 
Back
Top Bottom