Kuna wakati kwenye maisha unahitaji watu wanaoweza kuzungumza na wewe na hata ukiwa huna kitu, Kuna wakati urafiki na wahuni wanaoweza kucheza viwanja vyote ni muhimu, namaanisha wahuni wanaoweza kuishi Tandika, Manzese, Kazulamimba, Masasi,Manhattam, Chicago, Masaki nk hawa wanaexeperience kubwa na maisha kuliko wale waliolelewa na kukulia Masaki peke yake.
Masha atasumbuka sana maana inaonekana inner circle yake haina wahuni zaidi yamasharo na mayoyo waliokuwa bora kipindi akiwa na pesa, Hana elimu ya mtaa zaidi ya maisha yambereko.