Nini kimempata Lawrence Masha kufikia kuzunguka nyumba za ibada?

Yule nabii nae tapeli tu, anafanya ramli chonganishi Sasa je Masha akitoka pale akaenda kumkata panga mkewe?

Yule ipo siku atasababisha majanga makubwa acha serikali iendelee kumchekea tu.
Imewashindwa waganga wa kienyeji hao manabii itawaweza kweli hawajafika worse kuliko waganga wa kienyeji
 
Aliyekuwa Waziri Wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK, Lawrence Kingo Masha anazunguka Makanisani walau aweze kupata msaada wa kimawazo, nini kimetokea ? Hana watu sahihi wa kumsaidia kati ya waliomzunguka?
Kuna tatizo kumrudia Mungu wake anayemuabudu?
Kama ww huna imani mwache mwenzako aendelee na imani yake acha kufuatilia maisha yake haitakusaidia chochote
Tafuta pesa
 
Kuna wakati kwenye maisha unahitaji watu wanaoweza kuzungumza na wewe na hata ukiwa huna kitu, Kuna wakati urafiki na wahuni wanaoweza kucheza viwanja vyote ni muhimu, namaanisha wahuni wanaoweza kuishi Tandika, Manzese, Kazulamimba, Masasi,Manhattam, Chicago, Masaki nk hawa wanaexeperience kubwa na maisha kuliko wale waliolelewa na kukulia Masaki peke yake.

Masha atasumbuka sana maana inaonekana inner circle yake haina wahuni zaidi yamasharo na mayoyo waliokuwa bora kipindi akiwa na pesa, Hana elimu ya mtaa zaidi ya maisha yambereko.
 
Ila Wanawake sijui waliumbwaje hawaoni mbele kabisaaa. Wanaona hapa karibu tuu Yaan miguuuni kwao.

Ukute hapo anataka kurudi.
 
Nimecheka sanaaa
 
Kwa huyo mganga wanaenda wengi wenye madaraka yao, ni vile tu hawaruhusu kurekodiwa, usistaajabu hata namba moja alishaenda huko
 
Yule nabii nae tapeli tu, anafanya ramli chonganishi Sasa je Masha akitoka pale akaenda kumkata panga mkewe?

Yule ipo siku atasababisha majanga makubwa acha serikali iendelee kumchekea tu.
Kabis,yani..sijui nchi yetu imekumbwa na nini jamani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…