swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,894
mshike mwizi huyo mwizi huyo bado hujakamatwa tu.Hahahahahaaaaaaaaa! Nitokomeee wapi? Naona bakora zangu zinakuingia barabara
swissme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mshike mwizi huyo mwizi huyo bado hujakamatwa tu.Hahahahahaaaaaaaaa! Nitokomeee wapi? Naona bakora zangu zinakuingia barabara
SI HUWA ANASEMA YUPO SONGEA STENDI YA MABASI ATAKUWA AMEAMUA KUMSINDIKIZA MH SIXTUS MAPUNDA MPAKA STENDI YA MABASI UBUNGO KUELEKEA MIKONO SALAMAHuyo jamaa simpendi bora atokomee tuu
Juu wapi asingepata muda humu jf kutetea ujinga wa ccm angekua busy na mifugo na mashamba yake,kiwandani kwake kuzalisha Kwa wingi na kutafuta wateja.In short hajitambui ndiyo maana anaikumbatia ccm anadhani bila ccm hakuna maishaMkuu mimi nilidhania Lizaboni uenda maisha yake yapo juu sana?
Daaaaa kweli hapo mkuu kuna jambo fulani lina ukweliJuu wapi asingepata muda humu jf kutetea ujinga wa ccm angekua busy na mifugo na mashamba take,kiwandani kwake kuzalisha Kwa wingi na kutafuta wateja.In short hajitambui ndiyo maana anaikumbatia ccm anadhani bila ccm hakuna maisha
Lizaboni
Hakuna mbunge,waziri wala mtumishi wa umma toka chama cha ukawa kafikishwa mahakamani Kwa ufisadi ni ccm tuuAnatetea Matumbo ya Mafisadi? Acha utani wewe kwani Lizaboni ni Team Lowassa?
Ohooo.....sijui atatoka vipi. Maana yule jamaa amekalia majungu majungu tuSijdhani kama ataendelea na huo uchonganishi maana nkm wao kamshika kooni ile mbaya
Kumbe upoHahahahahaaaaaaaaa! Nitokomeee wapi? Naona bakora zangu zinakuingia barabara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Inawezekana amegundua kuwa majungu ndiyo yanalipa maana hayakatwi kodi