Nini kimempata LIZABONI?

Sisi wana-ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake tufahamishane maana hakuna YANGA bila SIMBA na siasa siyo uadui
Wewe mnafiki sana
 
Nakuchukia sana wewe Mmawia
 
Sisi wana-ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake tufahamishane maana hakuna YANGA bila SIMBA na siasa siyo uadui

Lizaboni yupo. Na jana kaja na uzi murua wa ufisadi wa Nchimbi
 
Hakuna kipindi ccm wanaogopa kufanya uchaguzi wa aina yoyote kama sasa maana wanajua watagaragazwa vibaya sana
Mkuu kama wanachukizwa Na ufisadi wamvue uwanachama waitishe uchaguzi mwingine kama wanajiamini
 
Ccm hawajiamini kabisa ndio maana unaona haya yanayo tokea ya kuzuia viongozi wa UKAWA kukutana na watanzania
 
Mkuu Lumumba hakuna msafi Bali wanazidiana uchafu tu huyu kachafuka hapa huyu kachafuka pale wewe angalia nyuzi za Lizaboni asilimia Mia ni za uchafu Wa wanachama Wa ccm ndio ujue kila MTU mchafu kumbuka nyumba za serkal na jahazi la Bagamoyo
 
Mkuu Lumumba hakuna msafi Bali wanazidiana uchafu tu huyu kachafuka hapa huyu kachafuka pale wewe angalia nyuzi za Lizaboni asilimia Mia ni za uchafu Wa wanachama Wa ccm ndio ujue kila MTU mchafu kumbuka nyumba za serikali Na jahazi la Bagamoyo
Kabisa kabisa ndani ya ccm hakuna wa kumnyooshea mwenzake kidole maana hakuna msafi
 
Wewe ngoja utacheka hii mahakama ya mafisadi ndio itawamaliza kila kesi itakuwa Na mwanachama Wao maana ufisadi wote wanahusika kwa hiyo ata wakubwa wakikosa kutakuwa Na wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…