Nini kimempata Lucas Mwashambwa tokea azungumzie suala la NIDA?

Nini kimempata Lucas Mwashambwa tokea azungumzie suala la NIDA?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Waziri katambi alipootoa agizo la NIDA Jumapili alijitokeza Lucas kulalamika sana.

Tokea hapo Jumapili hakuna mada zake tena.

Wana JF kapatwa na nini huyu
Screenshot_20260629-191243.png
 
Ana ka-guest house uchwara kenye kunguni na chawa, sasa hii ya NIN mara NIDA ameshahisi kushikwa kalio na Katombi ndio maana yuko kimya anaugulia maumivu ya kukosa maokoto ya wasafa wenzake.
 
Au ID yake ilihakiwa? sio kwa malalamishi yale kwa huyo chawa mtukuka, alishangaza kwa kweli
 
Back
Top Bottom