Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jun 29, 2026 #1 Waziri katambi alipootoa agizo la NIDA Jumapili alijitokeza Lucas kulalamika sana. Tokea hapo Jumapili hakuna mada zake tena. Wana JF kapatwa na nini huyu
Waziri katambi alipootoa agizo la NIDA Jumapili alijitokeza Lucas kulalamika sana. Tokea hapo Jumapili hakuna mada zake tena. Wana JF kapatwa na nini huyu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Jun 29, 2026 #2 Michezo ya chama cha majambazi hiyo
King Nkondo JF-Expert Member Joined Jan 1, 2023 Posts 2,374 Reaction score 3,311 Jun 29, 2026 #3 Mzalendo lucas, chadema wamemiss nondo zako njoo haraka!!
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Jun 29, 2026 #4 Bado hajalipwa buku 7 kwa cku. Kazi ni kipimo cha utu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,727 Reaction score 55,401 Jun 29, 2026 #5 Kaelimika
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 5,292 Reaction score 10,948 Jun 29, 2026 #6 Ana ka-guest house uchwara kenye kunguni na chawa, sasa hii ya NIN mara NIDA ameshahisi kushikwa kalio na Katombi ndio maana yuko kimya anaugulia maumivu ya kukosa maokoto ya wasafa wenzake.
Ana ka-guest house uchwara kenye kunguni na chawa, sasa hii ya NIN mara NIDA ameshahisi kushikwa kalio na Katombi ndio maana yuko kimya anaugulia maumivu ya kukosa maokoto ya wasafa wenzake.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Jun 29, 2026 #7 Au ID yake ilihakiwa? sio kwa malalamishi yale kwa huyo chawa mtukuka, alishangaza kwa kweli