Nini kimempata Lucas Mwashambwa?


Nashukuru Trump amezuia ARV maana kama vikao vya juzi Dodoma wameambukizana virus. Tusubiri muda ukifika mwakani tuwazike kama miziga......
 
Sasa wewe jichanganye hapo kwa ephen uone kipigo kitakacho kupatia. Na ukienda polisi ukisema nimekupiga utashangaa nao wanakuongezea kichapo kikali zaidi kwa kutumia rungu la mkane mwanao
CCM mnajiamini sana...mnaona mnawaona polisi kama chombo chenu Cha kuumiza watu wengine.

Hebu tupia picha ya ephen_
 
Huyu ndo Lukasi
 
Lucas Mwashambwa hajapewa Posho zake kwa muda mrefu sana sasa. Kahawa Mbozi imegoma, gharama za uzalishaji ni kubwa mno. Lucas Mwashambwa sasa anajichukia hata mwenyewe, anaona ulimwengu umempa mgongo. Ukimgusa bahati mbaya atakurarua makusudi
 

Ha kupewa nauli ya kwenda Dodoma, Ali omba tumchangie
 
Maisha yanabadilisha mtu.
Mtu habadilishi maisha
 
Dishi limeyumba
 
Huyu ni jamaa yangu Sana tangu yupo Iringa anasoma. Machozi yake yakibubujika hufika hadi IringaπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜‚
Mbona huwa hujibu swali Langu.Je wewe ndiye uliyekuwa unafanya uchambuzi wa Masuala mbalimbali ya kijamii katika Redio Ebon ya Iringa kila jumamosi .kipindi kilichokuwa kikiendeswa Na Neema msafiri A.K.A Mama John .ukishirikiana na Mwalimu wa Pale MUCE? Au majina yanafanana tu. Maana naye alikuwa Anaitwa kwa jina lako. Ila kama ndio wewe nakupa pongezi maana mlikuwa mnajitajidi sana kufanya uchambuzi mzuri na usioegemea itikadi za kisiasa.lakini vile vile mlikuwa mkizungumza kwa hoja nzuri.

Kama siyo wewe basi kaa pembeni huko kama abiria anayesubiri usafiri stendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…