Nini kimempata Lucas Mwashambwa?

Nini kimempata Lucas Mwashambwa?

Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?

Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.

Lakini siku za hivi karibuni naona kama maji yamezidi unga. Luka kajilipua na majibu yake yamekaa kishari sana.

Nini kimembadili mkulima Luka asiyetaka cheo au kuteuliwa bali kutetea chama chake?

Hizi lugha za kuudhi za watu wa mjini Luka kazitoa wapi?
Ana bed rest
 
Back
Top Bottom