DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,130
Ni hakika ya kuwa kila member aliyemfuatiliaji wa JF hasa jukwaa la hoja mchanganyiko au siasa atakuwa anamjua vilivyo huyu member MZEE mwanakijiji kupitia Mada zake.
Hadi mwishoni mwa 2015 member huyu ilikuwa si kawaida kukaa kipindi kirefu kama mwezi hivi bila kusoma makala zake nyingi zenye hoja nzito na kuikosoa serikali, lakini binafsi ghafla nashangaa jamaa haonekani humu, uwepo wake humu ni mfu tofauti na awali. Swali je nini kimemkuta huyu member mwenzetu kwani si kawaida yake?