Nini kimempata Mzee Mwanakijiji?

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,976
Reaction score
3,130
Ni hakika ya kuwa kila member aliyemfuatiliaji wa JF hasa jukwaa la hoja mchanganyiko au siasa atakuwa anamjua vilivyo huyu member MZEE mwanakijiji kupitia Mada zake.

Hadi mwishoni mwa 2015 member huyu ilikuwa si kawaida kukaa kipindi kirefu kama mwezi hivi bila kusoma makala zake nyingi zenye hoja nzito na kuikosoa serikali, lakini binafsi ghafla nashangaa jamaa haonekani humu, uwepo wake humu ni mfu tofauti na awali. Swali je nini kimemkuta huyu member mwenzetu kwani si kawaida yake?
 
Wapiga dili wamebanwa!
 
kakamatwa na cheti fake
 
Kuna mahali fulani nilikutana naye ila kachoka mbaya, anabangaiza na kablog fulani uchwara....

Inaonekana maswahiba zake wamemtupa vibaya, hana kick tena.
 
yuko kisiju..
 
Labda bastola imempitia maana anaiogopa sn.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…