Nini kimempata Mzee Mwanakijiji?

Rubii nimecheka sana kwa kuwa namfahamu fika Mzee mwanakijiji,

huyu hajatumbuliwa hata kidogo ila kaongezewa majukumu.

Lol leo nitamwambia atupiamo hata message moja wajue yuko hai

teh teh

Anhaaaa msalime mzee
 
Watu wanakuja na kuondoka... zama zinakuwepo na kupotea...
atakuwa ana majukumu mengine... kuna kipindi mtu mambo yanakubana...


cc: mahondaw
 
Watu wanakuja na kuondoka... zama zinakuwepo na kupotea...
atakuwa ana majukumu mengine... kuna kipindi mtu mambo yanakubana...


cc: mahondaw
Una maana ametumwa kusimamia "uundwaji" wa dreamliner?
 
Kahamia CCM Mkuu, hana hoja hawezi kosoa tena Serikali
 
Walimshindwa wanamchukia sana...wahusika bapa....



Post sent using JamiiForums mobile app
 
Itakuwa anasubiria uteuzi,kaambiwa akaushe na mada zake lumumba wameshazihakiki kuwa anafaa kuwa promoted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…