Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
yeye na wewe nani hana akili ?Huyu dogo akili hana,unajirekodi na kujipost vile!..hivi walidhani lile jambo dogo!?
Ndio njia ya hyo ya kupambana na wanaokosoa utawala washetani?Huyu dogo akili hana,unajirekodi na kujipost vile!..hivi walidhani lile jambo dogo!?
Ameuwawa
Mwachieni basi nyie mnaanza kujianika who you are! Baada ya kauli chokonozi kama hizi !Unaweza kuthibitisha au kuweka ushahidi ulionao kuhusu hi kauli yako?
Mwachieni basi mbwa nyie mnaanza kujianika who you are! Baada ya kauli chokonozi kama hizi ! Mbwa wewe!
Mleteni akiwa hai mbwa nyieHivi unajua ndugu zake inawezekana wanasoma huu uzi. Statement yako "unayoiita" chokonozi inaweza kuzua taharuki na mshtuko mkubwa kwenye familia yake, ndugu, jamaa na marafiki.
Kwanini unaropoka kwenye issue serious?
Mleteni akiwa hai mbwa nyie
Kazi ya mahakama ni nini?Huyu dogo akili hana,unajirekodi na kujipost vile!..hivi walidhani lile jambo dogo!?