Dah!kashapoteza mustakabali wa maisha yake! Nchi hizi za Africa Bora ufanye tu yako maisha yaende, tofauti na hapo utaacha wanao yatima au la!Salam Wakuu,
Taarifa zinasombaa ni kuwa toka Nicodemus Julius Loyore akamatwe Disemba 19 akiwa ofisini na watu waliojitambulisha kuwa polisi mpaka leo hajulikani yupo kituo gani!
Toka siku hiyo ndugu zake wanamtafuta katika vituo vya polisi bila mafanikio yoyote! Kama alikuwa na kosa alitakiwa kupelekwa mahakamani na sio kupelekwa/kufichwa kusipojulikana huku wapendwa wake wakiwa katika wakati mgumu wa kumtafuta ndugu yao.
Nicodemus siku chache zilizopita aliweka video mtandaoni akisema kuna watu wanamtisha na kumtukana pamoja na wanaharakati wengine, na kusema ikiwa atapotea/potezwa zikapita siku 40 hajapatikana basi ndugu zake wazike nguo! Je, ndio tulipofikia hapa? Halafu mnataka kurudusha mahusiano mazuri kati ya Polisi na Wananchi! Mahusiano gani?
Pia soma
~ Nicodemus amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wakiwa na nguo za kiraia
~ Video ikionesha namna Nicodemus alivyokamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi
🥱🥺🤔😭Ameuwawa
Dogo alishiriki kuchoma vituo vya mwendokasi, walikuwa wanaelekea bandarini kuchoma yale matenki ya mafuta.Huyu dogo akili hana,unajirekodi na kujipost vile!..hivi walidhani lile jambo dogo!?
Trab na Trat ye anakwambia majogoo, madume na mabeberu wanatuonea wivu Kwa raslimali zetu. Badala ya kuliunganisha taifa yeye Yuko kwenye kuomba taarabu. Kwakweli tumepatikana.Nchi haina kiongozi kwasasa, ni kuna vikundi vimegawana majukumu ya kuongoza nchi, bila kikundi kimoja kuingilia kingine, ni kama ilivyokuwa mexico kipindi cha Cartels, uyu mpaka wake ni huu, kundi hili mpaka wake ni ule. We kama waziri anazuia haya, lakini utekaji unaendelea, ukiangalia kwa umakini ni nchi ipo kwnye auto pilot yaani haina rubani, kiongozi hajulikani yuko wapi, yeye ni kujificha, wakimuulizia sana anaibukia kwenye makambi ya jeshi.
Kutafsiri Sheria kwenye matukio ya kawaidaKazi ya mahakama ni nini?
Uchome miundombinu,uhamasishe uasi uachwe!?..hata ruwaichi kashindwa vumilia uasi wa malofaNdio njia ya hyo ya kupambana na wanaokosoa utawala washetani?
TEKA ,UA,POTEZA
Yeye,ambaye na baridi hili analala juu ya sakafu ya saruji bila shukayeye na wewe nani hana akili ?
Amechoma nini wakati huyo ni diaspora alikuwa nje?Uchome miundombinu,uhamasishe uasi uachwe!?..hata ruwaichi kashindwa vumilia uasi wa malofa
Alikua nje wakati anafanya kazi kamata hapo jengo jeupeAmechoma nini wakati huyo ni diaspora alikuwa nje?
Watu wanachomaanisha kama kakosea ahukumiwe kisheria sio kutekwa, na kama unatetea utekwaji ipo siku utajaa kwenye anga za kiongozi au mtu yoyote, nawewe utatekwa na hakutakuwa na wakukutetea sababu mnahalalisha kuwa jambo la kawaida, haya maisha tu ndugu. 📌Uchome miundombinu,uhamasishe uasi uachwe!?..hata ruwaichi kashindwa vumilia uasi wa malofa
Umejuaje?Alikua nje wakati anafanya kazi kamata hapo jengo jeupe
Ahukumiwe kisheria na nani!?.. mhuni anashughulikiwa kihuni tu, mtatia akiliWatu wanachomaanisha kama kakosea ahukumiwe kisheria sio kutekwa, na kama unatetea utekwaji ipo siku utajaa kwenye anga za kiongozi au mtu yoyote, nawewe utatekwa na hakutakuwa na wakukutetea sababu mnahalalisha kuwa jambo la kawaida, haya maisha tu ndugu. 📌
wewe kama mwizi wa maduka ya watu unadhan una akiliyeye na wewe nani hana akili ?
Swali la kijingaUmejuaje?
Yeye ni nani huyu? Isije ikawa ni mbinu yao wenyeweSalam Wakuu,
Taarifa zilizombaa ni kuwa toka Nicodemus Julius Loyore akamatwe Disemba 19 akiwa ofisini na watu waliojitambulisha kuwa Polisi, mpaka leo hajulikani yupo kituo gani!
Toka siku hiyo ndugu zake wanamtafuta katika vituo vya polisi bila mafanikio yoyote! Kama alikuwa na kosa alitakiwa kupelekwa mahakamani na sio kufichwa kusipojulikana huku ndugu zake wakiwa katika wakati mgumu wa kumtafuta.
Siku chache kabla, Nicodemus alisema kuna watu walikuwa wanamtisha na kumtukana pamoja na wanaharakati wengine, na kusema ikiwa atapotea zikapita siku 40 hajapatikana basi ndugu zake wazike nguo!
Je, ndio tulipofikia hapa? Halafu mnataka kurudusha mahusiano mazuri kati ya Polisi na Wananchi! Mahusiano gani?
Pia soma
~ Nicodemus amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wakiwa na nguo za kiraia
~ Video ikionesha namna Nicodemus alivyokamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi