Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 478
Tulishangilia zile 4 kwakuwa mmesema nyinyi mnapiga tu sasa iweje mlizwe zote hizo na lamba lambausiigize umbumbumbu! najua wafahamu kuwa anaye wawezesha kupiga zaidi ya 3 ameyeyuka kama baiskeli ya barafu...
alafu kama unajua kuwa kila ushindi una alama 3 ,haijalishi wa bao 1,2,3,4,5,6,7,8......cha kushangaza mmekuwa mkishangilia bao 4 za penalty kana kwamba zilikuwa na alama 8.