Nini kimempata Shiza Ramadhani Kichuya?

Tulishangilia zile 4 kwakuwa mmesema nyinyi mnapiga tu sasa iweje mlizwe zote hizo na lamba lamba
 
Huyu jamaa ni mnafiki balaa! Mbona Ngoma hachezi kwenye kiwango chake hatuhoji.Kila siku wewe na simba tu! Mwache Kichuya akiwa bora atatufaa siyo kumponda tu humu.
Mkuu... Usimlaumu, huyo njia pekee anayojifariji ni kuangalia wachezaji kutoka Simba SC, mpira hajui afanye nini sasa, akienda michuano ya kimataifa anaishia robo au mchujo wa makundi

Timu inanunua mchezaji hata timu ya taifa hayumo kwa Sh200 ml

Bwihi.. aliyewaroga kafaaa
 
Nadhani wewe ndo shabiki maandazi unamsakama kichuya huku umesahau hakuna mchezaji kiazi kama chirwa.. Ukaacha kuongelea viongozi wenu kumtema twite na kumbakiza chirwa asie na msaada na timu... Kazi yako ni simba tu. Mliposikia kotei na wenzake hawana vibali mlishupalia bila kujua mnawachezaji wenu pia hawana.. Mkuu jaribu kujichunguza kwanza kabla hujasema chochote. Najua hakuna msemaji wa timu pale bwawani ila hata kama ni nafasi ya usemaji wa timu hautafutwi kwa kumshutumu kichuya wakati mna mizigo mingi tu pale bwawani huisemi.. Unazi ukizidi sana unakuwa kipofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…