Nini kimemsibu "Dai"; Tufuatilie kwa makini.....

duuu jamaa anayeyuka kama mshumaaa...hii nyimbo kazingua...eti nakuta lundo la watu wameket,wanajadili vyeti..shwain sana.nngekuwa karibu ningemchapa kibao
 
We si umetoka kumwambia mwenyekiti wako amfute Nnape uanachama wewe?
Jambo lenyewe si hilihili?
we kweli hujielewi!
Sio huyu jamani ila ID zimefanana kiasi, yule ni boya tu
 
Nadhani kaambiwa atoe iyo picha haraka

 
Maskin akipata apo yeye anamaisha yake mazur hajui mambo ya mfumuko wa bei wala ugumu wa kitaa
 
Kwani issue ya Daud Albert Bashite ni ya kichama!!!! Ni chama gani hicho mkuu???
Kweli sio chama lakini kuna kosa gani kuwa na urafiki na uyo uliyemtaja mkuu? Kwaiyo naseeb abdul anachaguliwa watu wakuwa nao mkuu?
 
Mkuu wachache watakuelewa na kuna tabia imejengeka ya kushinikiza wanachokipenda wao na ukiwa tofauti matusi na maneno mengi ya kukudhihaki.
 
Huyu Aongozewe mkia tu. Si ni Form 2 drop out.
 
Kiufupi ni Bashite anamtumia Diamond kujisafisha but I think dogo kuna nazani atakua kwenye listi ya ngada sasa maybe Bashite kampa masharti amsafishe ili asimtaje ndomana Simba amejikuta kaingia cha kike
Weka ushahidi mkuu
 
mimi nadhani daimond ni muungwana na si vyema kugombana na watu wa lika ya baba yake ameomba radhi gwajima kma baba yake kwisha tatizo lipo wapi?
 
WANAMUZIKI KAMA DIAMOND NDIYO WANAO FANYA VIONGOZI WAJIONE VIMUNGU WATU NDANI YA CCM.
DIAMOND ANASHINDWA KUFIKIRI KUWA WANAOMSHABIKIA NDIYO WANAOKANDAMISHWA NA CCM?
Anatetea vyeti feki.
 
WANAMUZIKI KAMA DIAMOND NDIYO WANAO FANYA VIONGOZI WAJIONE VIMUNGU WATU NDANI YA CCM.
DIAMOND ANASHINDWA KUFIKIRI KUWA WANAOMSHABIKIA NDIYO WANAOKANDAMISHWA NA CCM?
Anatetea vyeti feki.
 
mimi nadhani hebu tufikirie zaidi mifumuko ya bei ya vyakula ndilo la msingi tukalitolea mapovu kuliko kushabikia vitu visivyo na tija kwa mustakabali wa nchi yetu
 
AENDELEE KUPIGA KIMYA.

SHIT https://jamii.app/JFUserGuide.
 
Wenye akili ni wale waliotuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi baada ya muda wakampokea na kumfanya mgombea wao wa Urais.
 
mimi nadhani hebu tufikirie zaidi mifumuko ya bei ya vyakula ndilo la msingi tukalitolea mapovu kuliko kushabikia vitu visivyo na tija kwa mustakabali wa nchi yetu

Wengi humu hiyo ya kupakaza mavi ndiyo kula yao.
 
Yule alishapigiwa simu na mzee Kipala akiwa pale clouds akamlamba Sana'a miguu mzee Kipala tena sanaaaaa leo haishangazi kuwa upande wa prince bashite mtoto wa mfalme. Inawezekanaje ampende mfalme amchukie prince. Mwache apotee akili za kishikiliwa zimewekwa rehani kwa kina babu tale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…