linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,724
- 4,381
Hiyo Avatar yako tu... Watu wametoka mbaliSimba wa karatasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Avatar yako tu... Watu wametoka mbaliSimba wa karatasi
hahaha!! tanza_movie....ebu nikumbusheni episode ya ngapi vile?Siku hizi habari za celebrity zimejaa tele jukwaa la siasa. Ama kweli siasa za Tanzania zimeshuka hadhi
Leo hata mimi nimemshusha thamani sana tofauti na ninavyozifuatiliaga nyimbo zake!
yaani alivyo na jina kubwa eti anaanza kujibizana na mwanamke( mange)
Waulize hao wapumliwajiKwaiyo naseeb abdul atakiwi kuwa na mapenzi kwa kitu anachoamini? Na niulize mwisho mnataka naseeb abdul ashabikie chama gani?