Nini kimemsibu "Dai"; Tufuatilie kwa makini.....

Siku hizi habari za celebrity zimejaa tele jukwaa la siasa. Ama kweli siasa za Tanzania zimeshuka hadhi
hahaha!! tanza_movie....ebu nikumbusheni episode ya ngapi vile?
 
Leo hata mimi nimemshusha thamani sana tofauti na ninavyozifuatiliaga nyimbo zake!
yaani alivyo na jina kubwa eti anaanza kujibizana na mwanamke( mange)

MANGE HAJIBIZANI NA DAI DAI NDO KAMWINGIZA KWENYE SOO YA BASHITE.

KUONGEA KOTE KULE BASHITE KAMWAMBIA NDO KUKAA KIMYA.


SIKU ZOTE NAJIULIZA
SIJUI MKULU ANABROO NINI KWA BASHITE WAKATI AKILI NI BASHITEH? HATA UKI (BASHITE)^2 BADO UNAPATA BASHITE TU.
LABDA NI CRIMINAL MIND YA BASHITE?
INGEKUWANI HAPA USA KUNA MAHALI ANGEPATA KAZI KIRAHISI SANA(KUHOJI MATEKA WA CIA)

KWAKO DAI

DAI JIWE ULILORUSHA(KONDA-GWAJIMA) LIMETUA KWENYE MADHABAHU YA UFUFUO NA UZIMA, HUKUJIFUNZA WENZIO AKINA SHILAWADU PAMOJA NA KUAMBIWA MKULU ANASUBIRI KIPINDI KIRUSHWE NA KISHAA UZIKA KWA KUSUBIRI WALILAMBA MSIMAMO, WALIKUWA TAYARI HATA KUSINDILIWA VITAKO 100 VYA AK74 KULIKO KUTAJA JINA GWAJIMA.

UMEVUNJA RULES
NZI HATUI JUU YA MOTO.
 
Hivi alitumia akili yake kuimba wimbo wa kuzungumzia Bashite, Gwajima na Mange? Au alilazimishwa? Jamaa anataka kuyakoroga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…