Hayo mambo hayanihusu kabisa, pamoja na kwamba umenitaja taja mara kadhaa!Kwenye glass sidhani maana pale inatakiwa wazee wa kazi waoneshe kuwa darasani hawakwenda kukariri midifinisheni.
Unakumbuka scenario ya raisi wa North korea alivyobadilishiwa kalamu chap na dada yake wakati wa kusaini mikataba fulani? Dada aliona hapa kunaweza kuwa na assassination attempt na hivyo akatumia akili za ziada ku switch kalamu
Mulamula si mwana siasa pengine kashindwa kutokana na vimemo memo kaomba apumzike
Endelea na ukandarasi hazina tija hataMbona izo video sijaziona
Kwani yeye ndo alisema kuwa wamepandishwa school bus?Itakuwa sikulu basi