Nini kimemsukuma Msigwa wa Ikulu kuposti picha hizi mtandaoni siku ya leo akidai ni kumbukumbu?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Najiuliza ni nin kimemsukuma Greyson Msigwa wa Ikulu kupost picha hizi katika mtandao wa twitter asubuhi ya leo?

Ameandika "kumbukizi" bila shaka akimanisha kumbukumbu.

Je,ni hivi hivi tu?

Upendo huu umeanza lini?

Hii hawezi kuwa ni damage control?

1585125561053.png

1585125632404.png
 
Makosa mengi yaliyopo Leo hasa yamesababisha na Vyama, mfano, Nje ya Chama, ni lini umewahi kumuona Mh Mdee akipelekwa mahakamani?

Nje ya Chama, ni lini Mh Mbowe amewahi kushinda mahakamani Kwa makosa yake?

Nje ya Chama wote ni watu Wema kuliko Bashite, na Kwa maana hiyo utambue wazi kabisa urafiki wa mtu na mtu haijalishi anatokea Chama gani

Nje ya Vyama, Sisi sote tunapendana tena sio kidogo

Lakini ndani ya Chama, shetani anakaa huko, mawazo ya kuvunja mageti ya magereza ni ndani ya Chama,

Ndani ya Chama uzalendo hamna

Ni hayo mkuu
 
Acha upumbav,watu wanateseka kwa kutekeleza wajibu wao kisa tu ni wapinzani,nvhi hii ukiwa mpinzani ni sawa Corona na unapaswa kutokomezwa kwa namna yoyote ile!Au hukusikia JPm akimwagiza spika awatoe nje hao wabunge ili yeye akawashugjulikie huko uraiani?Kwa hizo picha ni wazi JPM alikuwa hajawa Rais!

"Nearly an old man can withstand adversity but if you want to test the man's character,give hime power"

Abrahm lincoln!
 
Siyo kwa wana ccm
Makosa mengi yaliyopo Leo hasa yamesababisha na Vyama, mfano, Nje ya Chama, ni lini umewahi kumuona Mh Mdee akipelekwa mahakamani?

Nje ya Chama, ni lini Mh Mbowe amewahi kushinda mahakamani Kwa makosa yake?

Nje ya Chama wote ni watu Wema kuliko Bashite, na Kwa maana hiyo utambue wazi kabisa urafiki wa mtu na mtu haijalishi anatokea Chama gani

Nje ya Vyama, Sisi sote tunapendana tena sio kidogo

Lakini ndani ya Chama, shetani anakaa huko, mawazo ya kuvunja mageti ya magereza ni ndani ya Chama,

Ndani ya Chama uzalendo hamna

Ni hayo mkuu

In God we Trust
 
Atakuwa ametumwa apost hizo be picha,sababu hawezi kupost picha ya mtu mwingine/isiyo mhusu /bila idhini.
Kuna jambo litajitokeza very soon hivyo tukae mkao wa kula

In God we Trust
 
hao muda si mrefu watawekwa 'karantini' ya uangalizi wa kisiasa na bw. Mbowe, hapendi kuona hayo yakifanyika.
 
Vijana wa manzese wanakiita kikohozi stereo
Kwa wanaonidai, niko nyumbani. Karibuni lakini mje na dawa ya kikohozi maana hiki kikohozi kikavu kinanisumbua sana.

In God we Trust
 
Back
Top Bottom