Bursting
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 289
- 520
Najiuliza ni nin kimemsukuma Gersno Msigwa wa Ikulu kupost picha hizi katika mtandao wa twitter asubuhi ya leo?
Ameandika "kumbukizi" bila shaka akimanisha kumbukumbu.
Je,ni hivi hivi tu?
Upendo huu umeanza lini?
View attachment 1398775
View attachment 1398776
Huwa natamani sana kuona hizi sura zenye upendo na furaha zikiwa katika nyuso za viongozi wetu bila kujali itikadi za vyama vyao..huu Ndio u Tanzania wetu tunapaswa kujivunia kwa Hilo lakini matokeo yake imekuwa ni kinyume chake na watu wamejenga uadui mkubwa sana na kuwaziana mambo mabaya na kukomoana kisa tu wamepishana mitazamo. Mungu atunusuru katika hili