Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Au wanawapanga mabeberu waone lao moja siku hizi.wamekubali yaishe chadema wamewashika pabaya
DAMAGE REPAIR ....YA UBAYA WANAOWAFANYIA WAPINZANIA KWA UJUMLA WAO ....Najiuliza ni nin kimemsukuma Gersno Msigwa wa Ikulu kupost picha hizi katika mtandao wa twitter asubuhi ya leo?
Ameandika "kumbukizi" bila shaka akimanisha kumbukumbu.
Je,ni hivi hivi tu?
Upendo huu umeanza lini?
View attachment 1398775
View attachment 1398776
Acha upumbav,watu wanateseka kwa kutekeleza wajibu wao kisa tu ni wapinzani,nvhi hii ukiwa mpinzani ni sawa Corona na unapaswa kutokomezwa kwa namna yoyote ile!Au hukusikia JPm akimwagiza spika awatoe nje hao wabunge ili yeye akawashugjulikie huko uraiani?Kwa hizo picha ni wazi JPM alikuwa hajawa Rais!Makosa mengi yaliyopo Leo hasa yamesababisha na Vyama, mfano, Nje ya Chama, ni lini umewahi kumuona Mh Mdee akipelekwa mahakamani?
Nje ya Chama, ni lini Mh Mbowe amewahi kushinda mahakamani Kwa makosa yake?
Nje ya Chama wote ni watu Wema kuliko Bashite, na Kwa maana hiyo utambue wazi kabisa urafiki wa mtu na mtu haijalishi anatokea Chama gani
Nje ya Vyama, Sisi sote tunapendana tena sio kidogo
Lakini ndani ya Chama, shetani anakaa huko, mawazo ya kuvunja mageti ya magereza ni ndani ya Chama,
Ndani ya Chama uzalendo hamna
Ni hayo mkuu
Picha hizo JPM alikuwa waziri!Ni muungano wa muda tu kumpiga Corona, akiondoka tunageukana tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makosa mengi yaliyopo Leo hasa yamesababisha na Vyama, mfano, Nje ya Chama, ni lini umewahi kumuona Mh Mdee akipelekwa mahakamani?
Nje ya Chama, ni lini Mh Mbowe amewahi kushinda mahakamani Kwa makosa yake?
Nje ya Chama wote ni watu Wema kuliko Bashite, na Kwa maana hiyo utambue wazi kabisa urafiki wa mtu na mtu haijalishi anatokea Chama gani
Nje ya Vyama, Sisi sote tunapendana tena sio kidogo
Lakini ndani ya Chama, shetani anakaa huko, mawazo ya kuvunja mageti ya magereza ni ndani ya Chama,
Ndani ya Chama uzalendo hamna
Ni hayo mkuu
Kuna jambo litajitokeza very soon hivyo tukae mkao wa kulaAtakuwa ametumwa apost hizo be picha,sababu hawezi kupost picha ya mtu mwingine/isiyo mhusu /bila idhini.
Kwa wanaonidai, niko nyumbani. Karibuni lakini mje na dawa ya kikohozi maana hiki kikohozi kikavu kinanisumbua sana.