mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kwa maelezo yako basi useme tuu chanzo cha kifo itakua covid 82 maana marehemu alikua na historia ya hilo tatizo tangu utotoniHuko nje ya tz ugonjwa huo unaitwa covid 19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maelezo yako basi useme tuu chanzo cha kifo itakua covid 82 maana marehemu alikua na historia ya hilo tatizo tangu utotoniHuko nje ya tz ugonjwa huo unaitwa covid 19
Duu!!Kwa maelezo yako basi useme tuu chanzo cha kifo itakua covid 82 maana marehemu alikua na historia ya hilo tatizo tangu utotoni
COVID-19 chukua tahadhari husika.
Ukijibiwa ni quote pleaseMimi naamini wewe una elimu na una AKILI.
Naomba nikuulize he unajua kuwa Corona inaambukiza?.
marehemu kaugua zaidi ya wiki 2 vipi ndugu zake nao wanaumwa Corona?
Madaktari pia waliokuwa wanamtibu wanaumwa Corona?.
Waliofanya mazishi take nao wameambukizwa Corona?.
Kuna vitu inatakiwa utumie akili.
kufa na Corona sio kosa Ila Ni kweli kafa na Corona?
we umewapima ukaona hawana covid19Mimi naamini wewe una elimu na una AKILI.
Naomba nikuulize he unajua kuwa Corona inaambukiza?.
marehemu kaugua zaidi ya wiki 2 vipi ndugu zake nao wanaumwa Corona?
Madaktari pia waliokuwa wanamtibu wanaumwa Corona?.
Waliofanya mazishi take nao wameambukizwa Corona?.
Kuna vitu inatakiwa utumie akili.
kufa na Corona sio kosa Ila Ni kweli kafa na Corona?
Kwa hiyo wewe unasema tuliokua karibu na Pneumonia wote tuna covid 19?we umewapima ukaona hawana covid19
..kinga ikishuka pia unapata PneumoniaPneumonia
we umewapima ukaona hawana covid19
Pneumonia ina historia?...Pneumonia ni medical condition ya hatari sana, ilimwua pia James Brown kabla hata Covid haijaingia duniani. C-Pwaa alikuwa na historia ya pneumonia tangu utotoni kadri ndugu zake wanavvyofahamu. Sasa nini kiko nyuma ya pazia? Kwa nini kila mara watu wanataka kuhusisha kifo chochote na Covid? Tumuache apumuzike kwa amani!
Hakika dunia hii ina wapumbavu wengi sana kama wewe ambao hata hawajui maana ya neno historia.Pneumonia ina historia?...
Hakika hii dunia ina watu wapumbavu sana.
😳😳 Kijana mwenye umri wa miaka minne au mitano?
😳😳 Kijana mwenye umri wa miaka minne au mitano?
Jitahidi kujiongeza kielimu sio unaandika pumba za namna hii unatia aibu...Hakika dunia hii ina wapumbavu wengi sana kama wewe ambao hata hawajui maana ya neno historia.
Hivi we katika akili ya kawaida unadhani uzalendo ni kumpenda Magufuli? Big noo uzalendo ni kumpenda Tanzania.Akili za wapinza ni kulazimisha kila kibaya kimesababishwa na rais John Pombe Magufuli
Hapa ndio wanapofeli na ikaonekana watu wenye chuki na waliokosa uzalendo.