Nini kimemuua CPwaa? Kuna kitu hakijakaa sawa

Huko nje ya tz ugonjwa huo unaitwa covid 19
Kwa maelezo yako basi useme tuu chanzo cha kifo itakua covid 82 maana marehemu alikua na historia ya hilo tatizo tangu utotoni
 
Mimi naamini wewe una elimu na una AKILI.
Naomba nikuulize he unajua kuwa Corona inaambukiza?.
marehemu kaugua zaidi ya wiki 2 vipi ndugu zake nao wanaumwa Corona?
Madaktari pia waliokuwa wanamtibu wanaumwa Corona?.
Waliofanya mazishi take nao wameambukizwa Corona?.
Kuna vitu inatakiwa utumie akili.
kufa na Corona sio kosa Ila Ni kweli kafa na Corona?
COVID-19 chukua tahadhari husika.
 
Ukijibiwa ni quote please
 
mhe. Kikwete alisema "Akili ya kuambiwa changanya na za kwako. Tuchukue tahadhari.
 
we umewapima ukaona hawana covid19
 
Nikiwa mkubwa nitaiita Corona kuwa ni pneumonia!🚶🚶🚶
 
Watu tumwamini Yesu, haya maisha ya duniani ni ubatili Chini ya jua, unapata starehe duniani huna mda wa kuokoka, jamani Kuna maisha baada ya haya, jiulize siku ukifa utakuwa mgeni wa nani??? Yesu anabisha mlangoni kwako mfungulie siku ukifa awe mwenyeji wako, moto unatisha jamani
 
Pneumonia ina historia?...
Hakika hii dunia ina watu wapumbavu sana.
 
Akili za wapinza ni kulazimisha kila kibaya kimesababishwa na rais John Pombe Magufuli
Hapa ndio wanapofeli na ikaonekana watu wenye chuki na waliokosa uzalendo.
Hivi we katika akili ya kawaida unadhani uzalendo ni kumpenda Magufuli? Big noo uzalendo ni kumpenda Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…