ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio umeandika nini hapo? Rudia kusomaDkt Bashiru aliwahi sema , Wananchi wanahitaji usalama wa Chakula, na Chakula ni Wizara ya Uvuvi, mifugo, kilimo ..
Hiii Wizara aliiwezea Mh Mpina tu, ngoja tumuone Mh Ulega , huyu pia Huwa ni mzuri kiutendaji, kiubunifu.
Maza anaamini watu wa dini ake pekee
Kanda ya kaskazini na ziwa tukiungana tunaweza kuwatoa chap hawa waswahili na genge la mafisadiKama Pombe ilivyoamini dini yake.
akunaga muungano wa Msukuma na mchaga aupo.Kanda ya kaskazini na ziwa tukiungana tunaweza kuwatoa chap hawa waswahili na genge la mafisadi
Kanda ya kaskazini na ziwa tukiungana tunaweza kuwatoa chap hawa waswahili na genge la mafisadi
Unaweza weka ushahidi?Maza anaamini watu wa dini ake pekee
Hauwezekani kutokana na mmoja ni mpumbavu na mwingine ni mwelevu!!kidogo mchaga na muhaya,Msukuma na muhzabe au mmakondeakunaga muungano wa Msukuma na mchaga aupo.
Mfanyabiashara wa Vifaranga waliofia Airport toka Ubelgij anaweza kuwa MpembaDkt Bashiru aliwahi sema , Wananchi wanahitaji usalama wa Chakula, na Chakula ni Wizara ya Uvuvi, mifugo, kilimo ..
Hiii Wizara aliiwezea Mh Mpina tu, ngoja tumuone Mh Ulega , huyu pia Huwa ni mzuri kiutendaji, kiubunifu.
Mi nadeal na mifugo naona serikali inavyopteza mapato watendaji wanakula rushwaa Sanaa yaani jamani dahh...inatia huzuni na hasira mnoo...hii nchi jamani dahhTangu usikie ile habari ya MABILIONI YA SAMIA KWA WAVUVI mwezi agosti 2022, umeona kazi yeyote kwa wavuvi ikifanyika hadi sasa?
Hao jamaa walishiriki kutufanyia wavuvi utapeli, wameweka pesa zetu kwenye FIXED ACCOUNT YA MIEZI 6 ILIWAPATE RIBA, hivi karibuni ndio walikuwa kwenye mpango wa kuzitoa hizo pesa baada ya kuvuna RIBA kwa BAHATI MBAYA MAMBO YAMEKOROGEKA DAKIKA ZA MWISHO..
Ndiyo imekuwa hivyo mjomba
View attachment 2531614
Huenda hii ndio sababu..Habari ndugu Wana jukwaa..
Kimbunga Cha pangua pangua ya mh.Rais Dk Samia kimesomba uongozi wote wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuanzia aliyekuwa Waziri wa Wizara na Makatibu Wakuu wake wote.
Amepona aliyekuwa Naibu Waziri ambae ameteuliwa kuwa Waziri.
Swali,kulikuwa na nini hasa kilichopelekea Kuondolewa Kwa Uongozi mzima wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Walioondolewa Hawa hapa👇
View attachment 2531513
Walioteuliwa Hawa hapa 👇
View attachment 2531533View attachment 2531534View attachment 2531535View attachment 2531536
Habari ndugu Wana jukwaa..
Kimbunga Cha pangua pangua ya mh.Rais Dk Samia kimesomba uongozi wote wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuanzia aliyekuwa Waziri wa Wizara na Makatibu Wakuu wake wote.
Amepona aliyekuwa Naibu Waziri ambae ameteuliwa kuwa Waziri.
Swali,kulikuwa na nini hasa kilichopelekea Kuondolewa Kwa Uongozi mzima wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Walioondolewa Hawa hapa[emoji116]
View attachment 2531513
Walioteuliwa Hawa hapa [emoji116]
View attachment 2531533View attachment 2531534View attachment 2531535View attachment 2531536
akunaga muungano wa Msukuma na mchaga aupo.
Kanda ya kaskazini na ziwa tukiungana tunaweza kuwatoa chap hawa waswahili na genge la mafisadi
Jamaa zako wametolewa kwasababu ni wezi wewe, acha kutupangaHuenda hii ndio sababu..
Yupo hapo miaka 5 kama sio sita amebuni nini?Dkt Bashiru aliwahi sema , Wananchi wanahitaji usalama wa Chakula, na Chakula ni Wizara ya Uvuvi, mifugo, kilimo ..
Hiii Wizara aliiwezea Mh Mpina tu, ngoja tumuone Mh Ulega , huyu pia Huwa ni mzuri kiutendaji, kiubunifu.