Nini Kimepelekea Kupanguliwa Kwa Uongozi Wote wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi?

Nini Kimepelekea Kupanguliwa Kwa Uongozi Wote wa Juu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi?

Wakurugenzi pia 🤣😂😆😅😄
 
Huenda hii ndio sababu..

Huo ndio uongozi?

Wewe kama mkuu wao huwezi kujishughulisha kujuwa tatizo lipo wapi, au nani mkorofi kati yao?

Kwa hiyo Waziri hata akiona tatizo katika wizara, aogope kuwajibisha kwa vile patakuwepo na mahusiano ya kutoelewana?

Huu ni uongozi wa namna gani huu?

Hii nafasi ya u-rais kupewa mtu yeyote bila ya kuwepo na viwango vyovyote ni makosa makubwa kabisa.
 
Jamani. Tunakuwa na mipango mingi mingine inashindwa kutekelezeka. Kwa mfano mradi wa kuweka heleni Kila Ng'ombe umeishia wapi? Tunaanza kutekeleza bila kupanga na kutathimini?
 
Back
Top Bottom