Ngigana JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 2,106 Reaction score 1,443 Feb 27, 2023 #21 Wakurugenzi pia π€£πππ π
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 12,096 Reaction score 15,393 Feb 27, 2023 #22 ChoiceVariable said: Huenda hii ndio sababu.. Click to expand... Huo ndio uongozi? Wewe kama mkuu wao huwezi kujishughulisha kujuwa tatizo lipo wapi, au nani mkorofi kati yao? Kwa hiyo Waziri hata akiona tatizo katika wizara, aogope kuwajibisha kwa vile patakuwepo na mahusiano ya kutoelewana? Huu ni uongozi wa namna gani huu? Hii nafasi ya u-rais kupewa mtu yeyote bila ya kuwepo na viwango vyovyote ni makosa makubwa kabisa.
ChoiceVariable said: Huenda hii ndio sababu.. Click to expand... Huo ndio uongozi? Wewe kama mkuu wao huwezi kujishughulisha kujuwa tatizo lipo wapi, au nani mkorofi kati yao? Kwa hiyo Waziri hata akiona tatizo katika wizara, aogope kuwajibisha kwa vile patakuwepo na mahusiano ya kutoelewana? Huu ni uongozi wa namna gani huu? Hii nafasi ya u-rais kupewa mtu yeyote bila ya kuwepo na viwango vyovyote ni makosa makubwa kabisa.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Feb 28, 2023 #23 Detective J said: Hamna mtu mjinga anatoka hiyo kan Click to expand... Hatari sn
A Anania Stephen Byarugaba Member Joined Apr 18, 2022 Posts 33 Reaction score 38 Feb 28, 2023 #24 Jamani. Tunakuwa na mipango mingi mingine inashindwa kutekelezeka. Kwa mfano mradi wa kuweka heleni Kila Ng'ombe umeishia wapi? Tunaanza kutekeleza bila kupanga na kutathimini?
Jamani. Tunakuwa na mipango mingi mingine inashindwa kutekelezeka. Kwa mfano mradi wa kuweka heleni Kila Ng'ombe umeishia wapi? Tunaanza kutekeleza bila kupanga na kutathimini?