Nini kimepelekea mitambo ya Nida Kuzimwa: Je: Imeharibika au kuna mchongo wa watu wameutega?

Nini kimepelekea mitambo ya Nida Kuzimwa: Je: Imeharibika au kuna mchongo wa watu wameutega?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Watoto wana omba kujiunga na vyuo vikuu wanalalamika.

Taarifa za Nida hazipatikani yapata wiki sasa bila taarifa!

Je; Kwanini haipatikani? Je kuna watu wanatengeneza mazingira ya kupiga pesa? Je kuna tenda inalazimishwa kwa mtindo huu au ni nini?

Tunaomba ufafanuzi?
 
IMG-20250806-WA0000.jpg
Mjumbe Amesema ametiki kwako lawama za nini?
 
Kwa msaada zaid wapigie..
 

Attachments

  • Screenshot_20250803_101624_Instagram.jpg
    Screenshot_20250803_101624_Instagram.jpg
    373.5 KB · Views: 38
  • Screenshot_20250803_101624_Instagram.jpg
    Screenshot_20250803_101624_Instagram.jpg
    373.5 KB · Views: 41
Watoto wana omba kujiunga na vyuo vikuu wanalalamika.

Taarifa za Nida hazipatikani yapata wiki sasa bila taarifa!

Je; Kwanini haipatikani? Je kuna watu wanatengeneza mazingira ya kupiga pesa? Je kuna tenda inalazimishwa kwa mtindo huu au ni nini?

Tunaomba ufafanuzi?
Mkuu Mbona huku kuna madogo wamefanya wiki iliyo pita mitambo ilikuwa sawa? Je umefanya utafiti kuwa imezima nchi nzima au halmashauri yenu pekee?


Kama huna majibu ya maswali yangu hapo juu kwanini unalaumu mkuu?


Uzuri wa Nida kama una haraka nayo nemda halmashauri changa hazina jamu.

Pia kutoa Shukrani kama buku 50k sio dhambi wala sio rushwa ukiombwa rushwa nawewe ukatoa ndo dhambi yenyewe.

Mimi binafsi nikiufrahishwa na huduma huwa naacha ka chochote hata kama ni buku2 Ila ukiniomba huku huduma sijaridhishwa nayo ni HAPANA.
 
Back
Top Bottom