Haya ndio hua mawazo ya watu wengi,Kwanini umejikita kwenye kulaumu na kutoa shutuma ambazo huna uhakika nazo ?
Kwanini akili mwako umejawa na mawazk hasi ?
Mkuu Mbona huku kuna madogo wamefanya wiki iliyo pita mitambo ilikuwa sawa? Je umefanya utafiti kuwa imezima nchi nzima au halmashauri yenu pekee?Watoto wana omba kujiunga na vyuo vikuu wanalalamika.
Taarifa za Nida hazipatikani yapata wiki sasa bila taarifa!
Je; Kwanini haipatikani? Je kuna watu wanatengeneza mazingira ya kupiga pesa? Je kuna tenda inalazimishwa kwa mtindo huu au ni nini?
Tunaomba ufafanuzi?
Unamuonea kwa kumuhukumu jinsi alivyohukumu.Kwa mienendo ya nchi ilivyo simlaumu kuwaza alivyowaza.Kwanini umejikita kwenye kulaumu na kutoa shutuma ambazo huna uhakika nazo ?
Kwanini akili mwako umejawa na mawazk hasi ?