Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anyway, siko hapa kubishana na kiasi chochote.We jamaa acha ushamba kama hujui kitu ulizia ueleweshwe
Ulichopost hapo ni upande wa kwanza bei ya kununua pesa ya kenya na upande wa pili ni bei ya kuuza
Acha upimbi
Tofauti iko ngapi jo? Huku mtaani bado ni 1 kwa 20Anyway, siko hapa kubishana na kiasi chochote.
Mimi Niko Mpakani, kiuhalisia sasa hivi Hakuna tofauti kubwa.
Elimu, Elimu, Elimu!!Mleta mada kashindwa kutofautisha buying and selling alivyoona bei ya kununua na kuuza kenyan shillings zipo sawa akakafikiri Tz shillings ipo sawa na Kenyan shillings
Acha kuwadanganya watu wewe, sasa ukiwa mpakani ndio utachange kwa rate tofauti na mwingine anatechange bureau de change dar es salaam? Shilingi moja ya KE ni approximately Tsh 20 ya TZ. Hata chati yako uliyoleta inaonyesha hivyo. Kama ungekuwa unauelewa hata wa kununua na kuuza pesa za kigeni usingeleta hapa huo upuuzi.Anyway, siko hapa kubishana na kiasi chochote.
Mimi Niko Mpakani, kiuhalisia sasa hivi Hakuna tofauti kubwa.