pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
.....alafu inabidi avute msokoto mwingine ili arudi kwenye hiyo form ya hapo awali. Kisha akirudi kwenye uzi ndio anaharibu kabisaaa .....and the cycle continues...Mkivuta bangi msiwe mnaingia JF maana mtaandika vitu kisha baadaye unajishaanga kama ni wewe uliyeandika hivyo.