Nini kimepelekea sarafu ya Tanzania kulingana thamani na sarafu ya Kenya hivi karibuni?

Mkivuta bangi msiwe mnaingia JF maana mtaandika vitu kisha baadaye unajishaanga kama ni wewe uliyeandika hivyo.
.....alafu inabidi avute msokoto mwingine ili arudi kwenye hiyo form ya hapo awali. Kisha akirudi kwenye uzi ndio anaharibu kabisaaa .....and the cycle continues...
 
Mkivuta bangi msiwe mnaingia JF maana mtaandika vitu kisha baadaye unajishaanga kama ni wewe uliyeandika hivyo.
Punguza mirungi kijana. Maana sasa hivi nasikia mirungi inashuka chini, mnainamishwa hatari.

Wakunya mirungi itawaua.

Check πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • 273900070_364442251859919_7633069612659929621_n.mp4
    967.3 KB
Kulingana ni kumaanisha shilingi moja ya Kenya ni sawa na shilingi moja ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…