Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Hizo met hali nyingine za matapishi hutolewa Ukiwa na wasio na kinyaa wenzako.
Hamna hata staha ya maandiko, halafu mnajigamba humu kuwa eti "wasomi".
If such are the priests, God bless the congregation.
Kosa lako, ni kushirikisha wanajf ili hali sababu ulizozisikia kuhusu kuvaa kwake viatu umebaki nazo wewe. Na si ajabu hata nadhiri ya kutovaa viatu ni wewe uliisikia ingawa ni kweli wengi walikuwa wanamwona jamaa akipekua pekua bila kujua kuwa jamaa anaiishi nadhiri yake.Binafsi zaidi ya mara Tano ( 5 ) au Saba ( 7 ) nilimsikia na kumuona mara kwa mara alipokuwa akihojiwa akisema kuwa hatokuja Kuvaa Viatu kamwe na kwamba sehemu zote atakazokuwa anaenda au anatembea atakuwa na ile ile ' Identity ' yake ya ' Pekua Peku Daima ' ila nimeshtushwa na taarifa yake mpya.
Ni kwamba Msanii Mrisho Mpoto katika hali isiyokuwa ya kawaida amemua Kulamba ' Matapishi ' yake ya ' Kinadhiri ' rasmi kwa kusema kuwa Kuanzia sasa atakuwa anavaa Viatu na kwamba hatotembea tena ' Peku Peku ' kama ilivyozoeleka na alivyokuwa ' amejibrandi ' hivyo mwenyewe.
Sababu alizotoa ama hakika zimenifanya nibaki Kushangaa na kuwa na Maswali mengi ya Kumuuliza ila pia kupitia tu hayo Majibu au hizo sababu zake kadhaa alizozitoa juu ya haya Maamuzi yake mapya Mrisho Mpoto amenifanya nizidi Kuamini kuwa ama hakika Bange / Bangi ni mbaya mno kwa Matumizi ya Mwanadamu / Binadamu na kwamba kila Mzazi nashauri ahakikishe Mwanae asitumie huu ' Mmea ' kwani unaharibu sana mfumo mzima wa ' Medulla Oblangata ' ya Mwanadamu.
Je na Wewe mwana JamiiForums unadhani ni kwanini Msanii Mrisho Mpoto ameamua Kulamba Matapishi yake mwenyewe na kwenda Kinyume kabisa na ' Nadhiri ' yake aliyoiweka na aliyotuaminisha nayo kwa miaka mingi tu tokea alipoanza rasmi Kujulikana na kuwa Msanii mkubwa hivi? Hivi Binadamu / Wanadamu wanajua madhara ya kwenda Kinyume na ' Nadhiri ' zao ambazo walijiwekea wenyewe tena mbele za Watu?
Nawasilisha.
Udini utakupasua kichwa mama. Yani wewe kila kitu lazima uingize udini na kuponda watu wasio wa imani yako.. you are insaneHizo met hali nyingine za matapishi hutolewa Ukiwa na wasio na kinyaa wenzako.
Hamna hata staha ya maandiko, halafu mnajigamba humu kuwa eti "wasomi".
If such are the priests, God bless the congregation.
Yaah nloshamuona havai kwenye public tuMpoto alikua havai viatu kwenye Public tu,akiwa kwenye mishe zake anavaaga kubasi.Nishamuona Mara kadhaa.
Usifananishe bange na mambo ya kijingaBinafsi zaidi ya mara Tano ( 5 ) au Saba ( 7 ) nilimsikia na kumuona mara kwa mara alipokuwa akihojiwa akisema kuwa hatokuja Kuvaa Viatu kamwe na kwamba sehemu zote atakazokuwa anaenda au anatembea atakuwa na ile ile ' Identity ' yake ya ' Pekua Peku Daima ' ila nimeshtushwa na taarifa yake mpya.
Ni kwamba Msanii Mrisho Mpoto katika hali isiyokuwa ya kawaida amemua Kulamba ' Matapishi ' yake ya ' Kinadhiri ' rasmi kwa kusema kuwa Kuanzia sasa atakuwa anavaa Viatu na kwamba hatotembea tena ' Peku Peku ' kama ilivyozoeleka na alivyokuwa ' amejibrandi ' hivyo mwenyewe.
Sababu alizotoa ama hakika zimenifanya nibaki Kushangaa na kuwa na Maswali mengi ya Kumuuliza ila pia kupitia tu hayo Majibu au hizo sababu zake kadhaa alizozitoa juu ya haya Maamuzi yake mapya Mrisho Mpoto amenifanya nizidi Kuamini kuwa ama hakika Bange / Bangi ni mbaya mno kwa Matumizi ya Mwanadamu / Binadamu na kwamba kila Mzazi nashauri ahakikishe Mwanae asitumie huu ' Mmea ' kwani unaharibu sana mfumo mzima wa ' Medulla Oblangata ' ya Mwanadamu.
Je na Wewe mwana JamiiForums unadhani ni kwanini Msanii Mrisho Mpoto ameamua Kulamba Matapishi yake mwenyewe na kwenda Kinyume kabisa na ' Nadhiri ' yake aliyoiweka na aliyotuaminisha nayo kwa miaka mingi tu tokea alipoanza rasmi Kujulikana na kuwa Msanii mkubwa hivi? Hivi Binadamu / Wanadamu wanajua madhara ya kwenda Kinyume na ' Nadhiri ' zao ambazo walijiwekea wenyewe tena mbele za Watu?
Nawasilisha.
Usiihusishe Bangi kwenye mada zako za kipuuuzi, Nyambafu kabsa wewe!!! Mtoto wa kiume unakalia kufuatilia maisha ya watu... Harafu ulivyomjinga zaid unaingiza kitu muhimu km bangi kwenye upuuzi wako..Binafsi zaidi ya mara Tano ( 5 ) au Saba ( 7 ) nilimsikia na kumuona mara kwa mara alipokuwa akihojiwa akisema kuwa hatokuja Kuvaa Viatu kamwe na kwamba sehemu zote atakazokuwa anaenda au anatembea atakuwa na ile ile ' Identity ' yake ya ' Pekua Peku Daima ' ila nimeshtushwa na taarifa yake mpya.
Ni kwamba Msanii Mrisho Mpoto katika hali isiyokuwa ya kawaida amemua Kulamba ' Matapishi ' yake ya ' Kinadhiri ' rasmi kwa kusema kuwa Kuanzia sasa atakuwa anavaa Viatu na kwamba hatotembea tena ' Peku Peku ' kama ilivyozoeleka na alivyokuwa ' amejibrandi ' hivyo mwenyewe.
Sababu alizotoa ama hakika zimenifanya nibaki Kushangaa na kuwa na Maswali mengi ya Kumuuliza ila pia kupitia tu hayo Majibu au hizo sababu zake kadhaa alizozitoa juu ya haya Maamuzi yake mapya Mrisho Mpoto amenifanya nizidi Kuamini kuwa ama hakika Bange / Bangi ni mbaya mno kwa Matumizi ya Mwanadamu / Binadamu na kwamba kila Mzazi nashauri ahakikishe Mwanae asitumie huu ' Mmea ' kwani unaharibu sana mfumo mzima wa ' Medulla Oblangata ' ya Mwanadamu.
Je na Wewe mwana JamiiForums unadhani ni kwanini Msanii Mrisho Mpoto ameamua Kulamba Matapishi yake mwenyewe na kwenda Kinyume kabisa na ' Nadhiri ' yake aliyoiweka na aliyotuaminisha nayo kwa miaka mingi tu tokea alipoanza rasmi Kujulikana na kuwa Msanii mkubwa hivi? Hivi Binadamu / Wanadamu wanajua madhara ya kwenda Kinyume na ' Nadhiri ' zao ambazo walijiwekea wenyewe tena mbele za Watu?
Nawasilisha.
Masharti ya kampeni yambana Mrisho Mpoto, sasa kuvaa viatu
SATURDAY MAY 25 2019
Kwa ufupi
Bila shaka unamfahamu msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto jinsi anavyoimba mashairi yake maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi huku akiwa hajavaa viatu
ADVERTISEMENT
By Phinias Bashaya, Mwananchi pbashaya@mwananchi.co.tz
Bukoba. Bila shaka unamfahamu msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto jinsi anavyoimba mashairi yake maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi huku akiwa hajavaa viatu.
Safari hii atalazimika kuvaa viatu kutokana na kubanwa na masharti ya Wizara ya Afya katika kampeni yake ya ‘Nyumba ni Choo’ iliyozinduliwa leo Jumamosi Mei 25, 2019 kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Mratibu wa kampeni ya kitaifa ya usafi wa mazingira, Anyitike Mwakitalima amesema leo mjini Bukoba kuwa msanii huyo anatakiwa kuchagua moja ili aendelee kuwa na sifa za kushiriki kampeni hiyo.
Amebainisha wizara hiyo ina miiko na taratibu zake zinazoendana na usafi wa mazingira na haiwezi kuwa sahihi kumtumia msanii asiyevaa viatu kwa kuwa hatua hiyo inaleta uwezekano wa kuambukizwa magonjwa.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mratibu huyo amesema kampeni hiyo itafika hadi vijijini, akisisitiza ni lazima Mpoto avae viatu.
Kwa upande wake Mpoto amesema anakubaliana na sharti hilo na kubainisha kuwa si kwa sababu anapenda pesa bali kuunga mkono juhudi za Serikali.
Pia Soma
Ninachokumbuka Sikh anahojiwa na clouds360 alisema haikuwa ridhaa take kutembea peku,Marehemu Ruge ndiyo alimwambia afanye hivyo.Binafsi zaidi ya mara Tano ( 5 ) au Saba ( 7 ) nilimsikia na kumuona mara kwa mara alipokuwa akihojiwa akisema kuwa hatokuja Kuvaa Viatu kamwe na kwamba sehemu zote atakazokuwa anaenda au anatembea atakuwa na ile ile ' Identity ' yake ya ' Pekua Peku Daima ' ila nimeshtushwa na taarifa yake mpya.
Ni kwamba Msanii Mrisho Mpoto katika hali isiyokuwa ya kawaida amemua Kulamba ' Matapishi ' yake ya ' Kinadhiri ' rasmi kwa kusema kuwa Kuanzia sasa atakuwa anavaa Viatu na kwamba hatotembea tena ' Peku Peku ' kama ilivyozoeleka na alivyokuwa ' amejibrandi ' hivyo mwenyewe.
Sababu alizotoa ama hakika zimenifanya nibaki Kushangaa na kuwa na Maswali mengi ya Kumuuliza ila pia kupitia tu hayo Majibu au hizo sababu zake kadhaa alizozitoa juu ya haya Maamuzi yake mapya Mrisho Mpoto amenifanya nizidi Kuamini kuwa ama hakika Bange / Bangi ni mbaya mno kwa Matumizi ya Mwanadamu / Binadamu na kwamba kila Mzazi nashauri ahakikishe Mwanae asitumie huu ' Mmea ' kwani unaharibu sana mfumo mzima wa ' Medulla Oblangata ' ya Mwanadamu.
Je na Wewe mwana JamiiForums unadhani ni kwanini Msanii Mrisho Mpoto ameamua Kulamba Matapishi yake mwenyewe na kwenda Kinyume kabisa na ' Nadhiri ' yake aliyoiweka na aliyotuaminisha nayo kwa miaka mingi tu tokea alipoanza rasmi Kujulikana na kuwa Msanii mkubwa hivi? Hivi Binadamu / Wanadamu wanajua madhara ya kwenda Kinyume na ' Nadhiri ' zao ambazo walijiwekea wenyewe tena mbele za Watu?
Nawasilisha.
mimi nimesoma kwa kujitahidi sana kwa kweli nimepatwa na kinyaa mno, ahsante ajuza kwa kuliona&kulikemea hili FaizaFoxy.[emoji109]Hizo met hali nyingine za matapishi hutolewa Ukiwa na wasio na kinyaa wenzako.
Hamna hata staha ya maandiko, halafu mnajigamba humu kuwa eti "wasomi".
If such are the priests, God bless the congregation.
Wakenya huyu jamaa mkitaka mchukueni tu, kwanza labda huyu ndugu yenu, hamuoni alivyofanana na nyinyi?