Nini kimesababisha Msanii Mrisho Mpoto ' Kulamba Matapishi ' yake ghafla na kwenda Kinyume na ' Nadhiri ' aliyoiweka?

Nini kimesababisha Msanii Mrisho Mpoto ' Kulamba Matapishi ' yake ghafla na kwenda Kinyume na ' Nadhiri ' aliyoiweka?

Nyumba ni choo. Choo chenyewe anaingia peku peku na kusambaza bacteria.
Au masharti ya mganga yamelegezwa?
 
Hizo met hali nyingine za matapishi hutolewa Ukiwa na wasio na kinyaa wenzako.

Hamna hata staha ya maandiko, halafu mnajigamba humu kuwa eti "wasomi".

If such are the priests, God bless the congregation.

Msamehe bure. Ni utoto tu, akikua ataacha.
 
Kosa lako, ni kushirikisha wanajf ili hali sababu ulizozisikia kuhusu kuvaa kwake viatu umebaki nazo wewe. Na si ajabu hata nadhiri ya kutovaa viatu ni wewe uliisikia ingawa ni kweli wengi walikuwa wanamwona jamaa akipekua pekua bila kujua kuwa jamaa anaiishi nadhiri yake.

Kutovaa viatu kulikuwa na sababu na sasa kuvaa viatu, kuna sababu. Ili mjadala uwe mzuri, ni vizuri sababu zote zingewekwa hapa kwaajili ya wachangiaji kuzilinganisha.

Aidha naungana na wanaosema ya watu, waachie watu. Ni vizuri kushughulika na yako au mambo muhimu kwako, jamii na taifa kwa ujumla.
Akili kubwaaa
 
Masharti ya kampeni yambana Mrisho Mpoto, sasa kuvaa viatu

SATURDAY MAY 25 2019

pic++mpoto.jpg

Kwa ufupi
Bila shaka unamfahamu msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto jinsi anavyoimba mashairi yake maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi huku akiwa hajavaa viatu

ADVERTISEMENT

By Phinias Bashaya, Mwananchi pbashaya@mwananchi.co.tz
Bukoba. Bila shaka unamfahamu msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto jinsi anavyoimba mashairi yake maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi huku akiwa hajavaa viatu.
Safari hii atalazimika kuvaa viatu kutokana na kubanwa na masharti ya Wizara ya Afya katika kampeni yake ya ‘Nyumba ni Choo’ iliyozinduliwa leo Jumamosi Mei 25, 2019 kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Mratibu wa kampeni ya kitaifa ya usafi wa mazingira, Anyitike Mwakitalima amesema leo mjini Bukoba kuwa msanii huyo anatakiwa kuchagua moja ili aendelee kuwa na sifa za kushiriki kampeni hiyo.
Amebainisha wizara hiyo ina miiko na taratibu zake zinazoendana na usafi wa mazingira na haiwezi kuwa sahihi kumtumia msanii asiyevaa viatu kwa kuwa hatua hiyo inaleta uwezekano wa kuambukizwa magonjwa.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mratibu huyo amesema kampeni hiyo itafika hadi vijijini, akisisitiza ni lazima Mpoto avae viatu.
Kwa upande wake Mpoto amesema anakubaliana na sharti hilo na kubainisha kuwa si kwa sababu anapenda pesa bali kuunga mkono juhudi za Serikali.
Pia Soma
Chezea vingine sio shekeli
 
Mbona hata wewe una mindi his fvkn business ya kufuatilia nadhiri za mpoto

Angalia usije ukawa unayemtukana hivi akawa ni Mwanaume wa Shoka ( wa pembeni ) ambaye ndiyo huwa anampa raha kubwa na ya ' Kibaiolojia ' iliyotukuka ' Mamaako ' pale ' Babaako ' akiwa ameshindwa Kutekeleza vyema Jukumu lake.
 
Hizo met hali nyingine za matapishi hutolewa Ukiwa na wasio na kinyaa wenzako.

Hamna hata staha ya maandiko, halafu mnajigamba humu kuwa eti "wasomi".

If such are the priests, God bless the congregation.
Kwan bado umevimbiwa daku mpaka uone kichefu chefu???
 
Angalia usije ukawa unayemtukana hivi akawa ni Mwanaume wa Shoka ( wa pembeni ) ambaye ndiyo huwa anampa raha kubwa na ya ' Kibaiolojia ' iliyotukuka ' Mamaako ' pale ' Babaako ' akiwa ameshindwa Kutekeleza vyema Jukumu lake.
genta naemujua Mimi asinge andika comment ya kukosea wazazi wa wengine adabu wala kuongea mambo ya kuumiza wengine kisaikolojia,bado naimani na genta na huu muandiko ni wamemuibia nywila yake sasa wanamchafua
 
Back
Top Bottom