Nini kimesababisha ' Mvumo ' wa akina Pierre Liquid na Baraka Magufuli kupotea ghafla masikioni mwa Watanzania?

Nini kimesababisha ' Mvumo ' wa akina Pierre Liquid na Baraka Magufuli kupotea ghafla masikioni mwa Watanzania?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha haraka kama siyo upesi sana anza Kutiririka na Kuserereka zako juu ya kile unachokijua juu ya ' Umaarufu ' wa ghafla na uliokuwa wa ' Kimvumo ' zaidi ya hao Watu Wawili tajwa hapo Kupotea na tayari wameshaanza ' Kusahaulika ' si tu Machoni bali hata Masikioni mwa Watanzania wengi.

Nawasilisha.
 
Story za Diamond na Zari zimewafanya wasahaulike mapema
 
Piere ana ngoma kashirikishwa na Rayvany ni kali sana!
 
Bongo ni nchi ya matukio, kila siku linakuja jipya na kiki yake na kufanya la jana kusahaulika.....But all in all it is the making of a TIME (TIME inafanya mtu/jambo la muhimu kukumbukwa daima na hufanya jambo/mtu asiye na umuhimu kusahaulika mapema sana) 😂😂😂
 
Back
Top Bottom