Nini kimetokea kwa Air Tanzania TC800, Dar - Kinshasa?

Nini kimetokea kwa Air Tanzania TC800, Dar - Kinshasa?

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
19,101
Reaction score
31,995
Wakuu Hii ndege ya Airbus A200-300,

Imeondoka Dar saa 10Asbh kuelekea Kinshasa lakini ndani ya Dakika 40 imerudi,

Kuna shida gani?

Je, inadharura?

Jamiicheki tusaidieni tujue.
 
Hii ndege sijui inashida gani
 
Wakuu Hii ndege ya Airbus A200-300,

Imeondoka Dar saa 10Asbh kuelekea Kinshasa lakini ndani ya Dakika 40 imerudi,

Kuna shida gani?

Je, inadharura?

Jamiicheki tusaidieni tujue.
Hakuna shida yoyote broo, ilienda Congo na kugeuza fasta, si unajua dude linakata wingu kama limechanganyikiwa
 
Hakuna shida yoyote broo, ilienda Congo na kugeuza fasta, si unajua dude linakata wingu kama limechanganyikiwa
Haiwezekani.
40minutes?
 
Wakuu Hii ndege ya Airbus A200-300,

Imeondoka Dar saa 10Asbh kuelekea Kinshasa lakini ndani ya Dakika 40 imerudi,

Kuna shida gani?

Je, inadharura?

Jamiicheki tusaidieni tujue.
Kuna shida na Air Tanzania wakuu
 
Back
Top Bottom