Siku hizi kuna nguo za ndani za kike(Skin tight) ambazo zina sponji na mwanamke akivaa zinatunisha makalio, vivyo hivyo kwa matiti.
Asilimia zaidi ya 80% ya wasichana wa siku hizi, maumbile na urembo wao ni Fake kabisa, kuanzia Nywele, Ngozi, Nyusi, Kope, Midomo, Matiti, Makalio, Miondoko, Sauti nk.
Yote tisa, kumi ni Picha zao mitandaoni, yaani ukiona msichana amepiga Picha yake na kisha kuianika mitandaoni iwe Whatsapp, Facebook, Twitter, Instagram nk basi ni lazima picha hiyo ameichakachua(Editing) kupita maelezo. Huu mchezo unafanywa na zaidi ya 90% ya wasichana kwa sasa.
Yaani Picha za wasichana mitandaoni zaidi ya 90% zinawaonyesha wazuri na warembo kweli kweli, lakini ukirudi mtaani na kuwaangalia wasichana hao hao jinsi walivyo utagundua warembo hawazidi hata 20%. Wengi wao wabovu, wamepauka na kuchakaa vibaya.