MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Utafiti huu hauna tofauti na ile "Tume ya Mwakyembe" , wahusika hawakuhojiwa!..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujafanya utafiti mkuu, umeangalia tu. Cha kufanya rudi tena ubebe sample uendenazo lodge ulete majibu mujarabu kama ni makaratasi au ni nyama kweli [emoji3][emoji3][emoji3]Jamani, kuna kitu kimejitokeza ambacho sie wanaume hatukijui?
Usiku wa leo nimekuwapo The great park kuthibitisha ka utafiti kangu... Ni kweli kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliokuwepo pale walikuwa wamejazika nyuma... Hali hii imenitisha na kunifanya nihisi labda wamevaa matambara ndani au labda Mchina is at work...
Wale wataalam wa mambo mkuje huku kutoa maelezo...
Hahahahah kwahiyo ilitakiwa awahoji kbs asikie maoni yaoUtafiti huu hauna tofauti na ile "Tume ya Mwakyembe" , wahusika hawakuhojiwa!..
[emoji23] [emoji23]Tamaa zako zinakusumbua tu, kafanye kazi acha ujinga
Hahahaaaaaaa ila jamaa kibokoHahahahah kwahiyo ilitakiwa awahoji kbs asikie maoni yao
[emoji23] [emoji23]
Muache mwanasayansi wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaielewa tu polepole usijali mkuu[emoji110]Ungenitafsiria maana ya avata yako ningeshukuru ndugu yangu, nataman kuielewa tu basi!