Nini kimeupata ukuta wa Yeriko

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Tualiambiwa ni moja ya kuta bora sana hapa nchini hata ulipue kwa ICBM za Korea ya kiduku haubomoki.

Lakini maajabu kila mechi risasi za gobole zilipita lakini Bado uliitwa ukuta imara kwani wahusika hawakuliona hilo kuwa huu ukuta una matobo au mashimo?

Haya Jana umebomoka kabisa, tuzibe viraka au tutaujenga upya

ELECTRICAL FENCE IS NO MORE
 
Kwa team inavyocheza ikiwa na ikipokwa mpira, hata uwe na kipa na mabeki gani.. watafungwa tu!
Team inapoteza mpira watu wanatembea badala ya kufaya quick reaction
 
Kosa kubwa la Simba ni kuiita Ukuta wa Yeriko, wakati wanafahamu ukuta wa Yeriko uliangushwa enzi za zamani na laana juu.
 
Kiufundi bado Simba ni timu yenye mabeki bora wakati Inonga na Che Malone. Tatizo hapa ni nani anawalinda mbele yao hawa mabeki wa kati pamoja na mabeki wa pembeni? Timu ikipoteza mpira mbele hasa kwa Saidoo nani anarudi kupambana kuutafuta mpira kabla haujaleta madhara kwa mabeki? Jibu ni hakuna kwa nini sasa mabeki na viungo wasizidiwe. Simba ianze kukabia juu na si kukaba kwa macho na washambuliaji waache kutembea uwanjani wakati wamepoteza mpira kizembe.
 

Dr aucho jana aliweka mfuko viungo wote wa makolo 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…