Nini kimewakumba Japan uzalishaji wa Magari ya Umeme?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
20241112_141034.jpg
Nini kimewakumba Japan?

Trump ana hasira nao hawa wachina balaah kati ya 10 nafasi 6 zao sio kawaida.

Utawala wa DT safari hii utakuwa na vituko zaidi dhidi ya hawa wachina ana hamu nao sana.
 
View attachment 3150276 Nini kimewakumba Japan?

Trump ana hasira nao hawa wachina balaah kati ya 10 nafasi 6 zao sio kawaida.

Utawala safari hii DT utakuwa na vituko zaidi dhidi ya hawa wachina ana hamu nao sana.
Japan hawajaingia kwenye soko la magari ya umeme kikamilifu. Bado wame stick to old school
na soko bado wamelishika maana demand bado ni kubwa

Ku transist kutoka huku kuja kwa electrical vehicle si rahis
 
Toyota hawajataka kujitumbukiza humo kwa sababu kwao Hybrid tech wanaona inafanya vizuri sana. Wametengeneza gari za umeme ila kwa kubipu sana wao wanataka hadi wawe na teknolojia nzuri ya battery maana ndio kikwazo. Wanafukuzia Solid State battery ambayo italeta mapinduzi ya kutembea walau kilometre 1000 na kuchaji kwa asilimia 80 ndani ya dakika 10.
 
Hawafanyi joint venture nimeona Volkswagen wamefanya na wachina nafikiri inaweza kuwasaidia au hawapo interested kwenye EV japo soko huku ndipo lilipo kwa sasa
 
No, huelewi mambo

Trump unakumbuka alichowafanyia Huawei, alidhan kawakomoa kumbe ndo akawapa mileage wao kufanya innovation zaidi, na mwezi jana Huawei wamekamilisha OS yao ambayo haitegemei Android (ya mmarekani) kwa chochote kile.

Personally namkubali Trump lkn kwa ile move alikoseaga sana. Cheki mauzo ya simu China, kampuni za kimarekani zipo nyuma huku Huawei ikiongoza huko.

Kwa lugha rahisi ukimzingua mchina ni umempa advantage na umepoteza kitu wewe. Naona kabisa this time Trump hatokuwa strict na China sababu wao vikwazo vya kiuchumi havina maana tena kwao. Na BYD alivyo na akili ameanza kuingiza EV zake Africa kwa kasi sana, hata ukimnyima soko la USA, yeye akishika soko lake nyumbani na Africa ameshafunga kazi hapo, humkamati hata kwa dawa
 
Toyota hawajataka kujitumbukiza humo kwa sababu kwao Hybrid tech wanaona inafanya vizuri sana. Wametengeneza gari za umeme ila kwa kubipu sana wao wanataka hadi wawe na teknolojia nzuri ya battery maana ndio kikwazo. Wanafukuzia Solid State battery ambayo italeta mapinduzi ya kutembea walau kilometre 1000 na kuchaji kwa asilimia 80 ndani ya dakika 10.
Wachina wanayo ya 2000km
 
No, huelewi mambo

Trump unakumbuka alichowafanyia Huawei, alidhan kawakomoa kumbe ndo akawapa mileage wao kufanya innovation zaidi, na mwezi jana Huawei wamekamilisha OS yao ambayo haitegemei Android (ya mmarekani) kwa chochote kile.

Personally namkubali Trump lkn kwa ile move alikoseaga sana. Cheki mauzo ya simu china, kampuni za kimarekani zipo nyuma huku Huawei ikiongoza huko.

Kwa lugha rahisi ukimzingua mchina ni umempa advantage na umepoteza kitu wewe. Naona kabisa this time Trump hatokuwa strict na China sababu wao vikwazo vya kiuchumi havina maana tena kwao. Na BYD alivyo na akili ameanza kuingiza EV zake Africa kwa kasi sana, hata ukimnyima soko la USA, yeye akishika soko lake nyumbani na Africa ameshafunga kazi hapo, humkamati hata kwa dawa
Hatari japo DT ni kichaa kasema ataweka 100% tariffs kwa EV kutoka China au atazipiga pin kabisa zisiguse U.S
 
Toyota hawajataka kujitumbukiza humo kwa sababu kwao Hybrid tech wanaona inafanya vizuri sana. Wametengeneza gari za umeme ila kwa kubipu sana wao wanataka hadi wawe na teknolojia nzuri ya battery maana ndio kikwazo. Wanafukuzia Solid State battery ambayo italeta mapinduzi ya kutembea walau kilometre 1000 na kuchaji kwa asilimia 80 ndani ya dakika 10.
Ndio, kwenye hybrid japan wamebet big. Sio toyota tu hata nissan

Japo inaonekana hybrid zinafanya vizuri pia sokoni.

Kwenye EV technology yako ya battery ndo kila kitu, ukishazipatia battery unabaki kucheza na designs za body tu kama anavyofanya BYD
 
Back
Top Bottom