Nini kimewakumba Japan uzalishaji wa Magari ya Umeme?

Sindio maana nakwambia Toyota ndio maana ahangaiki sana na EV. Hybrid ndio msema kweli
Ni Hybrid.
Chinese electric vehicle giant BYD has unveiled an upgraded version of its plug-in hybrid technology, promising a driving range of 2,100 kilometres on a fully charged battery and a full tank of fuel.
 
Yeah kikubwa ni endurance na charging time ndio inayotatiza.
 
Kudeal na china kwa mahala alipofikia inahitajika hekma na busara zaidi kuliko nguvu ukideal na china kindezi ndezi unajikutia wewe ndio unapoteza zaidi kuliko yeye
 
Magari ya umeme ni scam na japan hayuko tayar kuwaibia wateja wake
Nimeona sehemu japana especially toyota anatengeneza engine ya itakavyotumia mafuta kidgo na rafiki kwa mazingira
Mafuta katika magari sioni kama yataendelea kupewa kipaumbele kikubwa katika miaka ijayo
 
View attachment 3150276 Nini kimewakumba Japan?

Trump ana hasira nao hawa wachina balaah kati ya 10 nafasi 6 zao sio kawaida.

Utawala wa DT safari hii utakuwa na vituko zaidi dhidi ya hawa wachina ana hamu nao sana.
watamshenyeta kweli . soko la ev sasa ndio mpango mzima.kumbuka hapo rusiski a.ka rusia(ˈrʌʃ. ən/) amejiwekeza mali ambako ku a madini muhim kabisa kwa kuzalisha betri.na kinachoenda kutokea mchina hatakubal unyonge.kwanza byd zake ni.hatari
 
Afrika hii mnayonunua magari mitumba au afrika ya mbinguni ??
 
Inasemekana metal muhimu za kutengeneza battery nzuri kwa EV zimegundulika ukanda huu wa Africa mashariki na kati, hivyo tutegemee vita kupigwa zaidi ukanda huu wa maziwa makuu.
Ndo umeamka leo? Vita vinapiganwa zaidi ya miaka 10 huko Congo kwenye Cobalt na Lithium. Congo sehemu Inaitwa Manono ni sehemu yenye reserve kubwa ya Lithium Duniani zaidi Mamia ya mamilioni ya Tani.
 
Afrika hii mnayonunua magari mitumba au afrika ya mbinguni ??
Ethiopia ameshazuia hio mitumba ya kutumia mafuta......kwa sasa ni gari mpya za umeme tu japo kwa wananchi inakua taabu ila naona wameamua kujilipua, na hapo mchina anakenua tu..........baadae soko la gari mtumba za umeme litahamia china kama ilivyo Japan kwa sasa kwenye gari za mafuta
 
Eti kampuni za simu za Kimarekani China zimefanyaje?
Apple mwezi November ndio imeshikilia soko la simu huko China.

Huawei ban ya Marekani imeiathiri kampuni ya Huawei vibaya sana. Hata hizo chipset zake za Kirin zipo behind competition, na Huawei zinafanya vizuri hukuhuko China, nje ya China imeshajifia tu. Wanunuaji wapo ila wachache
Siku hizi makampuni mengine ya Kichina Xiaomi, Oppo, vivo wanatoa simu nzuri kuliko simu za Huawei, kweli Trump aliumiza mashabiki wengi wa Huawei ila usiseme kuwa eti simu za Mmarekani zinafanya vibaya China. Labda useme simu za China zinafanya vibaya Marekani
 
View attachment 3150276 Nini kimewakumba Japan?

Trump ana hasira nao hawa wachina balaah kati ya 10 nafasi 6 zao sio kawaida.

Utawala wa DT safari hii utakuwa na vituko zaidi dhidi ya hawa wachina ana hamu nao sana.
Nini kinalikumba bara la Afrika, uzalishaji wa binadamu vilaza miaka na miaka ?
 
Kosa kama hili aliwahi kulifanya kampuni ya Nokia. Wakati wenzake wakiwa wanajiandaa kutumia teknolijia za kisasa (android, iOS n.k) yeye alibaki anashangaa kwenye mfumo wa vitochi. Ni zaidi ya miaka kumi ila hadi leo yupo taabani
 
Japan ni conservatives na wazito wa mabadiliko. Bado maofisini wanatumiana Fax, wamefeli kuingia kwenye digital world, na kwenye magari ya umeme wamefeli hivyo hivyo. Hata Ulaya wamefeli kwenye magari ya umeme. Wakati China anawekeza kwenye madini muhimu kwa magari ya umeme, kama Copper na Lithium wao walikuwa wanamuona fala mchafua mazingira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…