Nini kimewapata bayern munich?

Nini kimewapata bayern munich?

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Wakuu habari ningependa kujua hii timu ya hawa mabavaria wa ujerumani bayern munchen wamekumbwa na nini mana wanapoteza sana mechi zao za maandalizi kuelekea kuanza kwa msimu mpya,ndo kusema uwezo wao umefika mwisho?
 
Nimecheki mechi yao juzi na Liverpool wakichapwa tatu kwa yai huku wakiwa na kikosi chao karibia chote. Kuna watu wamechoka pale. Yaani akina Sturridge walikuwa wanaonekana wapo level moja na Ronaldo kwa jinsi Bayern walivyokuwa wanayumba. Beki ya Bayern imeishiwa pumzi.
 
Back
Top Bottom