Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Tupo bize kusifia serikali ya awamu ya tano. Tukimalizana nayo tutarudi kwa nkapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo wimbo wa TOT ndo mzuri na una ujumbe hauchoshi kabisa huko TBCHakika huo ndio wimbo bora umetulia na umetungwa vyema na kupangiliwa vizuri sana....hakika ukisikiliza unaona hawa ndio watunzi? Wako wapi wasanii wanao jigamba kuwa wao ni watunzi wazuri? Yuko wapi Mjomba mpoto?
TOT wamefanya kazi nzuri,wimbo umeshiba maudhui na hata mirindimo yake iko njema!Kongole kwenu TOT
Sheria namba 7 ya 1999 iliyounda COSOTA aliisaini yeye hapo 31 Desemba 1999....ukiona hivyo jua marehemu hakuwa na msaada kwao kabisa yaani.
Shida ccm mnawatumia tu na kuwapa viposho uchwara,wapeni hela muone watatunga nyimbo hata 3000 za mkapaWasalaam wana jamvi!
Baada ya msiba wa Rais mstaafu tulitegemea wasanii wetu ndio watoa faraja wakuu katika kipindi cha maombolezo kwa tungo nzuri zenye mantiki na maana kuu.
Baada ya msiba tumeshuhudia wasanii wakikurupuka kuimba lakini nyimbo ambazo ni mbaya zisizo na mantiki wala maana.
Hakuna msanii ambaye ameimba wimbo ambao unaweza kabisa hata kuitwa huu ni wimbo bora wa kipindi hiki kama ilivyo kuwa kwenye misiba mikubwa ya Ruge Mutahaba na Hayati Nyerere.
Bado najiuliza wasanii wetu waneishiwa vya kuimba? Ni wavivu wa kusoma historia za viongozi wetu? Walishindwa kitumia kitu cha Hayati Mkapa kutunga nyimbo bora?
Hivi kweli TOT wamewazidi wasanii wetu wote lukuki katika kutunga? Au TOT ndio wafatiliaji wazuri? Wasanii wetu ni wavivu wa kutafuta habari?
Bado najiuliza ni wimbo gani mzuri unao uzidi wimbo wa TOT kipindi hiki? Wasanii wetu ni wazi kazi wanayoifanya hawakuitendea haki? Ni haki kuitwa wafanyakazi hewa?
Wasalaam!
Mpotoo Tena! Wee huyo siku hizi so mpoto Tena. We mtu ameanza Hadi kuvaa viatu ataimba nn sasAHakika huo ndio wimbo bora umetulia na umetungwa vyema na kupangiliwa vizuri sana....hakika ukisikiliza unaona hawa ndio watunzi? Wako wapi wasanii wanao jigamba kuwa wao ni watunzi wazuri? Yuko wapi Mjomba mpoto?