Jamani magroup ya biashara FB? Yamedorora sana wengi mmeliona hilo tatizo?
Nakumbuka 2017, 2018, mpaka 2019 mwezi November palikua moto yaani matangazo na biashara vilikua vinatrend balaa, yaani unahudumia comments na wateja hadi unachoka.
Siku hizi hakuna kitu pamedorora sana kiasi kwamba ukiona kapost tangazo lina comment 10 unaduwaa kazipataje wakati mwanzo tangazo mpaka comments 900
Jamani, magroup ya biashara FB yamedorora sana wengi mmeliona hilo tatizo ni nini?
Nakumbuka 2017, 2018, mpaka 2019 mwezi november palikua moto yaani matangazo na biashara vilikua vinatrend balaa yaani unahudumia comments na wateja hadi unachoka.
Siku hizi hakuna kitu; pamedorora sana kiasi kwamba ukiona kapost tangazo lina comment 10, unaduwaa kazipataje wakati mwanzo tangazo mpaka comments 900.
naona wameingia tamaa baada ya kuwa nawateja wengi wanaofanya ads kwa sasa..FB ilikuwa platform yenye nguvu sana 2017 kushuka chini,na instagram inaelekea huko pia