Nini kimeyakumba magroup ya biashara ya FB?

Nini kimeyakumba magroup ya biashara ya FB?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Jamani magroup ya biashara FB? Yamedorora sana wengi mmeliona hilo tatizo?

Nakumbuka 2017, 2018, mpaka 2019 mwezi November palikua moto yaani matangazo na biashara vilikua vinatrend balaa, yaani unahudumia comments na wateja hadi unachoka.

Siku hizi hakuna kitu pamedorora sana kiasi kwamba ukiona kapost tangazo lina comment 10 unaduwaa kazipataje wakati mwanzo tangazo mpaka comments 900


Nini kimeikumba facebook business groups?

Najiuliza hadi nashangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani, magroup ya biashara FB yamedorora sana wengi mmeliona hilo tatizo ni nini?

Nakumbuka 2017, 2018, mpaka 2019 mwezi november palikua moto yaani matangazo na biashara vilikua vinatrend balaa yaani unahudumia comments na wateja hadi unachoka.

Siku hizi hakuna kitu; pamedorora sana kiasi kwamba ukiona kapost tangazo lina comment 10, unaduwaa kazipataje wakati mwanzo tangazo mpaka comments 900.

Nini kimeikumba Facebook business groups?

Najiuliza hadi nashangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliyasakama mno Mara tcra tra nida cosota wasiojulikana makonda
 
naona wameingia tamaa baada ya kuwa nawateja wengi wanaofanya ads kwa sasa..FB ilikuwa platform yenye nguvu sana 2017 kushuka chini,na instagram inaelekea huko pia
 
Yawezekana purchasing power ya watu imepungua pia.

Watu kutapeliwa nako imechangia kupunguza wateja.
 
Back
Top Bottom