Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
mweeeeeeeeh, pole sana! inabidi umwombe Mungu amponye.....nakushauri acheni kutumia hivyo vidonge....Bwana awe nanyi daima....Dr:
GF wangu amekuwa akitumia vidonge vya majira kwa miaka karibu mitatu na baadaye aliamua kuacha ili tupate mtoto; lakini cha kushanganza huu ni mwezi wa 3 amekuwa akipata hedhi yake mara kwa mara na inafikai wakati kabla ya kupatwa hedhi anaumwa na tumbo mfululizo. Anzapoa kupata hedhi anatokwa na damu kama kawaida lakini baada ya siku ya 7 zinakuwa ziantoka kidogo kidogo mpaka karinu siku ya 15 inapokaktika anaweza kukaa siku kumi tu tena anaaanza mzunguko mpya!
Ime kuwa kero na wasi wasi kwetu kwni hatutaki arudi vidonge iliku kudhibiti hedhi irudie kawaida yake. Je tufanyeje?
Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilijifungua miezi saba iliyopita na mwezi uliopita nilianza breed na hiyo breed ilinichukua siku 2 ikakata. cha ajabu mwezi huu kwanza tumbo linaniuma sana, pili breed damu inavuja sana na pata shida sana naomba msaada. pia nashindwa kuelewa kwavile mtoto mwenyewe ni first born nashindwa kujuwa au nikawaida au siyo kawaida.
naomba kuwasilisha

<br />Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilijifungua miezi saba iliyopita na mwezi uliopita nilianza breed na hiyo bleed ilinichukua siku 2 ikakata. cha ajabu mwezi huu kwanza tumbo linaniuma sana, pili bleed damu inavuja sana na pata shida sana naomba msaada. pia nashindwa kuelewa kwavile mtoto mwenyewe ni first born nashindwa kujuwa au nikawaida au siyo kawaida. <br />
naomba kuwasilisha
<br />Hilo ni tatizo dogo dada japo mimi na mwanaume naamini nitakusaidia hebu ni PM mama!