Nini kinachofichwa kwenye graphic card na kwa nini mifumo yote ipo hapo

Nini kinachofichwa kwenye graphic card na kwa nini mifumo yote ipo hapo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Wakati sisi Afrika tunaendelea kuwa na maraisi wanazeeka wakiwa madarakani ila wenzetu wanavitu ambavyo mpaka sasa sijui wanaficha nini.

Graphics card kwa utambuzi rahisi unaweza kusema ni kwa ajili ya kupata muonekano na uwezo wa kucheza games.

Ila kwa dunia ya sasa imekuwa tofauti sana mpaka kwenye matumizi ya AI, cryptocurrency, A logarithm, hacking na n.k imekuwa ikitumiwa sana.

Wajuzi JF tupeni habari
 
Mkuu,
Ukijua kazi na umuhimu wa GPU huwezi kuuliza hili swali, hasa kwenye AI.
 
ila wenzetu wanavitu ambavyo mpaka sasa sijui wanaficha nini.

Sidhani kama wanaficha, zaidi ni kwamba:Wamewekeza sana kwenye miundombinu ya computer
Na sisi sio kwamba “hatuna kitu”, ila scale na speed ya investment ni ndogo sana ukilinganisha nao.
Hata hivyo mimi sio mtaalamu kwenye hii sekta, ngoja wataalamu waje.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
GPU excel at parallel arithmetic doing millions or billions of mathematical operations at the same time.

Hence hizo zote ume mention hapo ni STEM. That's why wenzetu wana invest sana kwenye GPU (high speed parallel math processor)
 
Back
Top Bottom