Nini Kinachowachochea Watoa Taarifa au Mawakala Kushirikiana na Mashirika ya Upelelezi?

Nini Kinachowachochea Watoa Taarifa au Mawakala Kushirikiana na Mashirika ya Upelelezi?

Nini hasa kinachowachochea watoa taarifa (informants) au mawakala (agents) kushirikiana na mashirika ya intelijensia?

Tunajua kuwa kazi ya intelijensia na upelelezi inategemea sana taarifa zinazokusanywa kutoka kwa vyanzo mbalimbali.

Ni sababu zipi zinazowafanya watu hawa kuwa tayari kushirikiana?
Bribery (Hongo)
Patriotism (uzalendo)
Coercion (Shurti)
 
Haha, kweli, wengine hawawezi kujizuia kutoa siri, kama Snowden. Wapo ambao wanatoa taarifa kwa hulka zao tu.
Na ndio maana huwa wakishamaliza kuwatumia wanawaua, cse wanajua the snitcher will go back and snitch the snitchee
 
Back
Top Bottom